Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

Ni kweli YEHODAYA alimtukana matusi yote anayoweza hadi kumwita mke wa Lissu, Leo ndo AG Wa Ikulu anayoitetea hata ikitoa uharo, sijui atakuja na filamu gani kujikosha maana Lumumba kwa kujipendekeza ni first class.
haswaaaaaa....
 
Yale yale uliyoyasema na labda yakapelekea ukapigwa risasi, leo mtu "aliyekopi" yale yale, nasema yale yale utadhani ulimtumia kopi ya andiko lako na kuyaweka JF na kwingine, ameteuliwa kuwa AG.
Ugua pole shujaa wa nchi hii! Utapona, Mungu yuko nawe!

UNAJUAJE LABDA TUNDU LISSU NDIE ALICOPY??
AG MPYA KAMZIDI TUNDU LISSU KWA MENGI
NI LECTURER
NI CHAIRMAN

TUNDU LISSU NI MWANAFUNZI ANAWEZA KUWA ANACHUKUA VITU KWA WATU SABABU ANA SEHEMU YA KUONGELEA,
TUNDU LISU NI MWANASIASA LAZIMA UJUE TOFAUTI YA MWANASIASA NA MWANASHERIA HAPO NDIO ANAKOSEA

HAKUNA JIPYA KTK HILO SIASA HAIGUNDULIWI NI TAFITI TU HATA WEWE UNAWEZA UKIWA NA AKILI NA MUDA
 
Nimeliona na mimi ( Kididimo) ni mwanasayansi,na ethically ni mtafiti. Nimecomment kuwa 100% ya aliyosema huyu mteuliwa yanafanana na aliyosema TL. Alitakiwa a acknowledge TLs' work! That could be more ethical, cause, it was his original work!
Perfect, Research Scientist, uko NIMR au? my point is, TL was christened a traitor because of his views with regard to Mineral exploitation and Makinikia! Exactly what TL is blamed of, was reproduced by the new AG. Why did the authorities condemn TL?
 
UNAJUAJE LABDA TUNDU LISSU NDIE ALICOPY??
AG MPYA KAMZIDI TUNDU LISSU KWA MENGI
NI LECTURER
NI CHAIRMAN

TUNDU LISSU NI MWANAFUNZI ANAWEZA KUWA ANACHUKUA VITU KWA WATU SABABU ANA SEHEMU YA KUONGELEA,
TUNDU LISU NI MWANASIASA LAZIMA UJUE TOFAUTI YA MWANASIASA NA MWANASHERIA HAPO NDIO ANAKOSEA

HAKUNA JIPYA KTK HILO SIASA HAIGUNDULIWI NI TAFITI TU HATA WEWE UNAWEZA UKIWA NA AKILI NA MUDA
Aliyeanza kusema ni TL, na kama ingelitokea amekopi, basi the new AG angelitokea na kusema kuw amekopi kazi yake!
 
Mhh, hizi comments zimeanza kunishtua kidogo. Tuangalie pia isijeleta msiba wa utenguzi! Ninavyofahamu, political kickare still domona
Perfect, Research Scientist, uko NIMR au? my point is, TL was christened a traitor because of his views with regard to Mineral exploitation and Makinikia! Exactly what TL is blamed of, was reproduced by the new AG. Why did the authorities condemn TL?
Technically, you are right. From your views, Im not sure whether politically you will also be accepted! In African politcs "Creatives are crushing stones to accomodate their lives while babyface type of leaders are using the crushed stones to build or decorate their houses!
 
Yale yale uliyoyasema na labda yakapelekea ukapigwa risasi, leo mtu "aliyekopi" yale yale, nasema yale yale utadhani ulimtumia kopi ya andiko lako na kuyaweka JF na kwingine, ameteuliwa kuwa AG.
Ugua pole shujaa wa nchi hii! Utapona, Mungu yuko nawe!
 
Shida yetu ndo hapa. Mtu akijitoa kutumia ujuzi na weledi wake ashakuwa nabii. No wonder kila mara viongozi wa dini wanatuaminisha wanasiasa walio ulingoni wamechaguliwa na Mungu. Kama taifa hatutafika mbali kuwatweza hawa viongozi kama miungu ndio maana wengine hufanya wajisikiavyo kupigana na wanaodhani "miungu"wenzao.
 
Niliwahi kuonana USO kwa USO na Mh.T.L mara moja tu nikiwa chuo kikuu Udom kwa muda wa dakika 30 tuu nuligundua T.L anao uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kizalendo na zenye ushawishi mkubwa sana ktk watu wenye muono wa mbali na hata wa kawaida.

Kuna mambo aliongea siku ile kuhusu uzalendo na demokrasia tafsiri yake nimeipata baada ya kusikia amepigwa risasi nkavuta picha nyuma kuona alichosema TL miaka 9 iliyopita imemtokea mwenyewe na ni kweli japo wakati ule tulizani anaongea utani.
 
UNAJUAJE LABDA TUNDU LISSU NDIE ALICOPY??
AG MPYA KAMZIDI TUNDU LISSU KWA MENGI
NI LECTURER
NI CHAIRMAN

TUNDU LISSU NI MWANAFUNZI ANAWEZA KUWA ANACHUKUA VITU KWA WATU SABABU ANA SEHEMU YA KUONGELEA,
TUNDU LISU NI MWANASIASA LAZIMA UJUE TOFAUTI YA MWANASIASA NA MWANASHERIA HAPO NDIO ANAKOSEA

HAKUNA JIPYA KTK HILO SIASA HAIGUNDULIWI NI TAFITI TU HATA WEWE UNAWEZA UKIWA NA AKILI NA MUDA
jitahidi kuficha ujinga wako bwana mdogo,tunajua lumumba imejaa vilaza ila doooh hii hoja yako ni zaidi ya u bashite
 
Maelezo mazuri nayo ni yakweli isipokuwa hukutoa hitimisho nini viongozi wetu wanaweza fanya au kwa kuanzia waanze na kipi ili tujinasue salama hapa au ndio tayari tumezama kutoka tena hakupo milele tunaomba mawazo yakutoka kama yapo mkuu
 
Back
Top Bottom