Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Bado Mchuma haujafika tu? Mwaka unaenda wa pili huu au meli imekwama baharini?
Naona umeamua kufukua makaburi?

Siku zote nasema na nitaendelea kusema kuwa, kinachomuweka kwenye chat mond ni hizi show off za uwongo ili aendelee kutamkwa vinywani mwa watu. Na wala sio muziki wake. Ndio maana inambidi kila wakati ajitahidi kutafuta vitu, watu maarufu kumzidi ili aonekane anafanya nao kazi lengo likiwa ni kupata kick na sio kujifunza vitu au kufanya muziki mzuri
 
Weee nae matatizo yako usituletee hapa hesabu moja ya haraka ambayo hauijui revord label tu inaacha mzigo wa kutosha, caller tunes za WCB nazo huacha pesa ndefu, endorsement mbali mbali, shows jumlisha percent ya kila msanii aliepo WCB bado eti hauamini
Mwaka wa nne huu.
 
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja.. View attachment 441705View attachment 441706View attachment 441707View attachment 441708View attachment 441709

Diamond
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom