dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,335
Na wewe ni mhanga haya pole maana naona nimetupa jiwe gizani,Acha ubaguzi lol...
Humuoni bashe?
Unajuwa maana ya uraia?
Jifunze kutofautisha uasili wa MTU na uraia wake.
Tuko watanzania wengi wenye asili tofauti na watanzania asilia.
Tumezaliwa Tanzania wazazi wetu pia na babu zetu walizaliwa nchini japo kwa nje twaonekana rangi zetu sio sawa na wale waasili kabisa.
Acha ubaguzi