Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

Mimi nashauri tuitafishe airtell,

kama ACACIA walinyooka na wakatuahidi kutupa mahela,itakuwa hawa..

Kwanza hata vodacom ichunguzwe na ikibidi tutaifishe tu ,,cho...
 
Jana Rais wa JMT mhe.. JPM amepigiilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Bharti Airtel kwa kumwagiiza Waziri wa Fedha kufanya uchunguzi uhamishaji wa hovyo wa hisa za TTCL toka Cellnet, Celtel, Zain na sasa Airtel!!!

Ufisadi huu ulifanyika chini ya Utawala wa A3 ya Mzee Mkapa akisaidiana na Waziri wa Mawasiliano waktii huo Mzee Mark Mwandosya,, Mwanasheria Mkuu Chenge na Jaji Warioba aliyekuwa Board Member akiiwakilish upande wa TTCL na Serikali......?!!!

Karibu tujadiili!

Unauliza watatokaje? Kelele za chura zilimzuia ngombe kunywa maji au kama jk asemavyo kelel za mlango.

Kama mleta hoja angekuwa mtu wa haki ingekuwa so. Huu ni mchezo kama wa yule dakitari shika. Itapendeza kusema tu.
 
Haya yote ni majizi ya CCM hayawezi kuguswa na mtu yeyote, hata mzee wa makinikia alikuwepo kwenye baraza la mawaziri. Hakuna jipya chini ya CCM zaidi ya maigizo.
Na kiki. Ili halijaisha linaanza hili.Ili magari ya bandari majibu bado,Vichwa vya train bado, makinikia bado, NHC bado imekuwa wimbo wa Marehemu Mr.Ebo Mungu amrehemu kila kitu bado aliona mbali.
 
Na bado huko Vodacom JPM anawafikia muda so mrefu. Ameanza na Airtel anakuja kwenu siku so nyingi. Mmefisadi sana nchi hii mkishirikiana na msfisadi papa akina rostam aziz, karamagi na Lowasa.

NILIKUA NAJIULIZA UKIMYA WA LOWASSA NI KWA NINI??

KUMBE KASHAMBIWA UKIBEEP TUNAPIGA

SASA JPM ANAPIGA...NAONA 2020 ATASIMAMA MBOWE
 
Mimi nashauri tuitafishe airtell,

kama ACACIA walinyooka na wakatuahidi kutupa mahela,itakuwa hawa..

Kwanza hata vodacom ichunguzwe na ikibidi tutaifishe tu ,,cho...
Na Fast jet na Prec..Air vitaifishwe.Wasi sahau na ile NMC ya Buguruni irudishwe pia.Tunaitaka Moretco, Kauma,Kauru n.k
 
Michezo ya kuigiza hii tu. Magufuli hawezi kuvunja nyumba ambayo yeye mwenyewe yumo ndani yake.

Kwanza yeye mwenyewe watu wanalo faili lake.
 
Back
Top Bottom