Kila kitu kina utaratibu wake, kuchelewa kuripoti kazini kwa zaidi ya mwezi ni kosa except uwe na genuine reason kama vile ugonjwa ukionyesha na vyeti ambavyo kule unakoenda kuna madaktari watavipitia kwa verification.
Nijuavyo mimi ni kuwa TAMISEMI hawana shule, watakuombea kwenye Halmashauri...
Sasa tumetoka kwenye kujadili mada badala yake tunamjadili mleta mada, hii ni ishara ya kujaribu kuwafanya watu wa aina fulani wasitoe mawazo yao.
Tunachojadili hapa ni mada badala ya kumjadili mleta mada hii itasaidia kuona je kilichowasilishwa mashiko yake yakoje? Nadhani ndio msingi wa...
Kwangu mimi hapa kuna mitazamo ya aina mbili, Dr Slaa kukosoa si shida kulingana na mtazamo wake lakini kwa upande wa waislamu kunena neno kama hilo kwa kiongozi wao wa kidini si jambo jema kwani linapunguzia heshima ni sawa na mtu aanze kumpinga Pengo na viongozi wengine wa kiroho.
Upande...
Jamani lazima kwenye ukweli tuseme ukweli, hivi ikibainika zile dawa zinazotolewa na mzee kule Longido zina madhara baada ya miaka mitatu kwa binadamu tutasemaje mbele ya umati, ni vema ikachunguzwa kama haina madhara yoyote ya kiafya siku za baadaye. Na hapa ndio tunasema kila wizara inamsemaji...
Mmiliki wa Dowans mbona alishatajwa na ni wanchi gani, suala ni utaratibu gani utumike ndio sula la msingi. Tatizo letu tunajazba sana bila ya kuangalia utaratibu, sheria na kanuni.
That is good we need to get more old speeches. On actual fact we should not take them for granted but some of them were very and still valid up to the moment.
Thanks
Kaka si kweli kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika. Kinachoendelea ni kura za maoni ndani ya Chama. Hivi uwenyeji tu ndio sifa bora ya kupata madaraka.Sisemi kuwa fedha ndio sifa bora la hasha, uchaguzi unacomprise vitu vingi likiwemo suala la uadilifu, kushirikiana na watu...
Ni sahihi, tusimuhukumu mtu kwavile ameonekana katika majengo ya IPP Media, either tulitegemea issue fulani au tusubiri kama kuna habari itakuja mbeleni.
Naona kwako kaka kila kitu ni kujiudhulu,sijui watajiudhulu wangapi?Ata kama wanataka mheshimiwa atoe uthibitisho wa Waziri anayemtuhumu!Lakini kuna kitu lazima tujiulize mimi nadhani huyu Mengi naye ana matatizo kila wakati amekuwa akigombana na watu kwa visingizio tofauti.Mara nyingi amekuwa...
Huyu jamaa yuko FINCA hapohapo Dar.Ule mgomo ulikuwa mwaka 2000 na Rais aliyeingia mtini alikuwa ni Kusaga tukaongozwa na mwanadada Emily Kivugo, chini ya Uangalizi wa Gervas Mkili, Magabe Kibiki, Mukangala na Rugemalila ka Kabwe kalikuWEPO NA NDIPO KALIJENGA JINA HAPO.Chakushangaza aliporudi...
Hivi kinachafanyika Marekani ni kutaifisha au kununua mabenki.Ukitaifisha haulipi haulipi chochote lakini ukinunua unatakikana kulipa.Ukweli ni kuwa si Tanzania tu waliingilia kati kama Kampuni inakuwa hijiendeshi vizuri na hii tumeiona ina work ata ktk dunia ya kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.