Speech ya Mohamed Shamte UN hii hapa

Speech ya Mohamed Shamte UN hii hapa

Kuna tofauti gani kati ya Uhuru wa Tanganyika 1961 na wa Zanzibar 1963 na, je, kama Tanganyika isingekuwa Jamhuri 1962 na yenyewe ingekumbwa na mapinduzi kama ya Zanzibar 1964?
 
no, ilikuwa ukoloni mamboleo, shamte alikuwa kivuli ndio maana hatumtambui kama shujaa.
mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii .................................? thanks
 
Zakumi... wewe sasa unataka ugomvi.. ndio maana mimi nasubiri kwenye huu mjadala wa Katiba Mpya hatuna budi kuzungumzia nafasi ya Sultani wa Zanzibar.

Mkuu,

Yeyote leo hii anayezungumzia usultani Zanzibar anapotosha ukweli.
CCM wametumia vitisho hivi kuwa sulatani atarudi Zanzibar kwa miaka mingi kama njia ya kuwafanya CCM wazenj na wanamapinduzi kusema wanalinda mapinduzi hata pale wanaposhindwa kwenye Uchaguzi mkuu huko Zanzibar. Na pia serikali ya Muungano imetumia mbinu hii ili ku-get grip on Zanzibar, iwe haijiamulii mambo yake.

Pia CCM wametumia tactic hii kuuhadaa umma wa TZ kuwa CUF ni chama cha Usultani,uarabu, uislamu, ugaidi, chama cha wapemba nk
Fear mongering ndio term sahihi kuelezea haya ya kauli za Usultani Zanzibar. Hizo enzi zimepitwa na wakati sawa na Tanzania na ujamaa na kujitegemea.

Mimi nategemea Katiba mpya kama ni katiba ya Muungano basi pande mbili za Muungano ndio wanegotiate katiba mpya ya muungano. Hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa Serikali ya Tanganyika kuwepo na katiba ya Tanganyika kuwepo.
Katiba unayoizungumzia ni ya Serikali ya muungano na member wa muungano ni serikali ya Tanganyika na ile ya serikali ya Zanzibar. Tena members wameunganisha baadhi ya mambo tu.

Vyenginevyo itakuwa ni muendelezo wa kuwaburuza wazanzibari.

Kwa mtu mwenye akili timamu hashindwi kuona udhaifu huu wa muungano kuwa kuna mambo yaliyo ya Tanganyika tu lakini yashughulikiwe na Katiba na sheria za Muungano. Kama sisi upande wa Tanganyika tungekuwa hatufaidiki na set up hii, tungelalamika kuwa tumememzwa na Muungano kama ambavyo Zanzibar wanalalamika.

Tunajidanganya nafsi zetu na siku za mbele tutapata matatizo ambayo yanaepukika.
Jaji Mkuu, Chande alifanya kazi ambayo, ilimletea mvi kwa haraka, kuiondoa East Timor kutoka Indonesia. Kwa nini tunasubiri hayo?
 
That is good we need to get more old speeches. On actual fact we should not take them for granted but some of them were very and still valid up to the moment.

Thanks
 

1963 UN Speech

Political problems tend to hit the world headlines, but it is not generally known, for instance, that malaria which a few years ago used to cause as much havoc as any war, is now almost wiped out from Zanzibar, as a result of an intensive joint effort on the part of WHO, UNICIEF and the Government and people of Zanzibar. It is also not known that quietly but determinantly we are trying with the aid of the ILO and FAO to do away with the curse of under-employment. There are many other ways in which individual countries and international organizations have been co-operating with us in solving our problems. .
Thank you, Sir.


Nice Speech mhh!
Hapo kwenye red.... 48 years later tunaweza kusema nini cha kujivunia uhuru na kuwa mwanachama wa UN
 
Back
Top Bottom