TAMISEMI watanipa ajira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAMISEMI watanipa ajira?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Al shabab, May 2, 2012.

 1. Al shabab

  Al shabab Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ndugu zangu,mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya ualimu SHAHADA,BA.Ed mwaka jana.february mwaka huu nikapangwa katika ajira ila nimechelewa nikaripoti april,nimeambiwa hakuna pesa za kunilipa kwani zilirudi hazina,finaly,naambiwa niende Wizarani,TAMISEMI,nikaombe kazi,swali ni je,mnazani itakuje au mnashauri nifanye nini?kama kuna mtu wa tamisemi humu afunguke..
   
 2. M

  Majasho JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  umeona goali la Papiss Cisse? ni Noma!
   
 3. Al shabab

  Al shabab Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  grammaticaly correct but your text if compared to what i presented,the two are highly incompatible semantic features,there is no relation in meaning between text 1 and text 2,DONT WRITE BECAUSE YOU WANT TO WRITE SOMETHING,WRITE IF YOU HAVE SOMETHING TO WRITE!you are welcome.
   
 4. H

  HAM Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kila kitu kina utaratibu wake, kuchelewa kuripoti kazini kwa zaidi ya mwezi ni kosa except uwe na genuine reason kama vile ugonjwa ukionyesha na vyeti ambavyo kule unakoenda kuna madaktari watavipitia kwa verification.

  Nijuavyo mimi ni kuwa TAMISEMI hawana shule, watakuombea kwenye Halmashauri lakini utaulizwa muda wote ulikuwa wapi ulishindwa kuripoti na mwisho ukaonekana wewe mzembe.

  Usikate tamaa nenda uwaambie watakusaidia na wakati mwingine wanaweza kuongea na Halmashauri uliotakiwa kwenda kuripoti ili wakusaidie.
   
 5. chishango

  chishango JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 827
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Nenda halmashauri ulikopangiwa waeleze sababu za ww kuchelewa then ukubali kuanza kz bila malipo wakati fedha zako zikisubiriwa toka hazina itategemea na aina ya mkurugenzi wako anaweza akaangalia means nyingine za kukufanya uishi kwa kipindi ukisubiri subsistence allowance yako na wakati unasubiria mshahara wako uanze ku flow toka hazina haichukui muda mrefu ndani ya miezi 2 utakuwa umeanza kupata mshahara wako
   
 6. Al shabab

  Al shabab Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepitia huko kote mpaka kwa REO,Nimeambiwa niende Tamisemi.
   
 7. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mwl mzembe wewe bora wakutose kabisa maana nyie ndio mnaoleta zero za kutosha, kweli unashindwa kuripoti kwa wakati unategemea watoto wetu wafeli eee.
   
 8. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hivi Yanga na Simba lini?
   
Loading...