Dr.Slaa alikurupuka pia!

Egyptian

Member
Apr 1, 2011
14
3
Hivi karibuni kumezuka maneno mengi,hasa baada ya Mufti kuwaasa waislam wasijiunge na maandamano ya kisiasa.Dr.Slaa akimjibu mufti kwa kuwa chadema ndio inayohusika na maandamano alisema Mufti hakufanya utafiti.Mi nikajiuliza mbona kuna mambo mengi tu mufti hakusema na kama angeyasema na kuonesha ushahidi sijui Dr.Slaa angejibu nini? Mfano hadi sasa inaonekana Dr.Slaa alikurupuka kuchukua mwanamke ambaye anamwenyewe, na katika sheria za kanisa ndoa ikishafungwa basi hiyo haivunjiki.Kwa hilo Dr.hakufanya utafiti wa kina.Siku za karibuni pia Dr.Slaa alimzushia kifo Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mh.Yohana Balele,pia hapa hakufanya utafiti.Kwa kweli kwa msomi wa kiwango cha Dr.Slaa hii ni aibu.Ombi langu kwa Dr.Slaa badala ya kulalamika ni aende kumuona Mufti wazungumze ana kwa ana badala ya kujibizana kwenye vyombo vya habari.
 
Ndugu najua unahisi vipi moyoni baada ya kusoma kwenye vyombo vya habari kwamba Dr. Slaa amesema mufti hakufanya tafiti. Kwanza hilo sio tusi, na kwakuwa Dr. Hakufanya tafiti hakumpi mtu mwingine haki ya kufanya kitu ama kuzungumzia jambo bila ya kufanya Tafiti. 'Two wrongs does not make it right'.
Mwisho ombi lako sio baya, ni jema kwa ajili ya kujenga mahusiano mema yanayoonyesha kuharibika.
 
Kwangu mimi hapa kuna mitazamo ya aina mbili, Dr Slaa kukosoa si shida kulingana na mtazamo wake lakini kwa upande wa waislamu kunena neno kama hilo kwa kiongozi wao wa kidini si jambo jema kwani linapunguzia heshima ni sawa na mtu aanze kumpinga Pengo na viongozi wengine wa kiroho.

Upande mwingine kama alivyotangulia kusema mwingine kuwa Dr si shida lakini je unachokinena kinalingana na elimu, yapo maeneo lazima tukiri kuwa Dr Slaa alikuwa amepotoka likiwemo la kusema kiongozi mkubwa wa mkoa amefariki ilihali hapana alitakiwa kupata taarifa za uhakika na sio kukimbilia nionekane natoa breaking news as if Dr ni Mwandishi wa Habari.
 
:help:
Msaada wa haraka unahitajika hapa.. Tuseme wote wamekurupuka sasa tunawasidiaje!
 
Hivi karibuni kumezuka maneno mengi,hasa baada ya Mufti kuwaasa waislam wasijiunge na maandamano ya kisiasa.Dr.Slaa akimjibu mufti kwa kuwa chadema ndio inayohusika na maandamano alisema Mufti hakufanya utafiti.Mi nikajiuliza mbona kuna mambo mengi tu mufti hakusema na kama angeyasema na kuonesha ushahidi sijui Dr.Slaa angejibu nini? Mfano hadi sasa inaonekana Dr.Slaa alikurupuka kuchukua mwanamke ambaye anamwenyewe, na katika sheria za kanisa ndoa ikishafungwa basi hiyo haivunjiki.Kwa hilo Dr.hakufanya utafiti wa kina.Siku za karibuni pia Dr.Slaa alimzushia kifo Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mh.Yohana Balele,pia hapa hakufanya utafiti.Kwa kweli kwa msomi wa kiwango cha Dr.Slaa hii ni aibu.Ombi langu kwa Dr.Slaa badala ya kulalamika ni aende kumuona Mufti wazungumze ana kwa ana badala ya kujibizana kwenye vyombo vya habari.

Pole una shida ya kisaikologia tafadhali tafuta msaada "rehabilitation". Thats personal affairs una maana huyo mchumba wake ni mtoto ndogo au mjinga kama wewe kwamba anafanya asicho kijua?
 
kwa hiyo ndo unajibu mapigo kwa staili hiyo?usipende marumbano.wapime kwanza kwa uwezo wa elimu ndo ukurupuke.
 
Wewe mwenyewe hujafanya utafiti wa kina na kama ungekuwa umefanya basi hungeandika kama ulivyoandika.ni vizuri next time kabla hujakosoa na wewe ukae chini na kushirikisha ubongo wako kabla hujakurupuka manake sio slaa,simba na wewe mnaweza wote mkawa wa kondo mmoja tu.siku njema
 
Pole una shida ya kisaikologia tafadhali tafuta msaada "rehabilitation". Thats personal affairs una maana huyo mchumba wake ni mtoto ndogo au mjinga kama wewe kwamba anafanya asicho kijua?

hahaa,you yourself show that some few nuts are loose in your head.i suggest ukamuone daktari wa mifugo akupe tiba pengine utapona na kuacha kupost ugolo.
 
Mleta mada you remind me,i nearly fell out of ma chair laughing when i first head about balele death being a fake report delivered by slaa.
Slaa is in fact a very useful LIE DETECTOR we have.whatever he say it is exactly OPPOSITE of what he MEAN.
You folks want to look for TRUTH,you have got to set your bigotry,political ideology aside.some of you are way to easy to MANIPULATE,if it is negative about the government even if it means life and death you immediately ACCEPT it as a FACT without even THINKING or CHECKING it out.
You suck
 
ha hahaaaaaaaaa unamnyooshea dr slaa kidole kimoja umesahau kuwa vingine vinne vimekutizama mwenyewe!!!

usirudie tena ulichofanya kwa kuwa hata ww mwenyewe unamapungufu kwenye akili yako.
 
Wazo la kulaumu co zuri bt la dr slaa kukaa na mufti ni wazo zuri

bado hata na kukaa na mufti hamna haja. Kama mufti ana shida na dr.slaa aende HQ ya cdm aombe kuonana na dr.tofauti na hapo hata kichaa atatoa tamko na kisha tuombe dr akae naye wamalizane! Kwan mufti ana nini mpaka dr.amtafute? Dr bora aachane na malumbano na watu kama hawa,tujenge siasa na tujenge dini zetu. Kama kuna dini inataka siasa ikajisajili kwa mh.Tendwa ndo tuanze kuipigia kura na kuisikiliza. Bye mkuu.
 
by the way,what drugs are you on nowdays?whatever it is bro leave it ,it is doing damage to your brain.
so who the hell is slaa anyway.the man got 2 milioni follower,mufti got nearly 20 million.
Man stop kidding yourself for a sec and face reality
 
Hivi karibuni kumezuka maneno mengi,hasa baada ya Mufti kuwaasa waislam wasijiunge na maandamano ya kisiasa.Dr.Slaa akimjibu mufti kwa kuwa chadema ndio inayohusika na maandamano alisema Mufti hakufanya utafiti.Mi nikajiuliza mbona kuna mambo mengi tu mufti hakusema na kama angeyasema na kuonesha ushahidi sijui Dr.Slaa angejibu nini? Mfano hadi sasa inaonekana Dr.Slaa alikurupuka kuchukua mwanamke ambaye anamwenyewe, na katika sheria za kanisa ndoa ikishafungwa basi hiyo haivunjiki.Kwa hilo Dr.hakufanya utafiti wa kina.Siku za karibuni pia Dr.Slaa alimzushia kifo Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mh.Yohana Balele,pia hapa hakufanya utafiti.Kwa kweli kwa msomi wa kiwango cha Dr.Slaa hii ni aibu.Ombi langu kwa Dr.Slaa badala ya kulalamika ni aende kumuona Mufti wazungumze ana kwa ana badala ya kujibizana kwenye vyombo vya habari.

Posted via Mobile.......nadhani utakuwa unachaji hii simu kaunta na akaunta katuma hii post bila wewe kujua....siamini mtu mwenye simu kama hii anaweza kuleta huu utumbo
 
Hongera sana kupanda mbegu za kukudhalilisha mwenyewe inawezekana ni mgombea maana huwezi jua
 
Back
Top Bottom