Mmiliki wa dowans - kwa nini mamlaka husika zina kigugumizi?

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
Sina hakika tatizo ni nini! Kutaja mmiliki wa kampuni imeshindikana? Tatizo ni lipi hasa?
 
Kumtaja mmiliki wa dowans haiwezekani lakini kutuma polisi kuua raia 10 na kujeruhi wengine makumi rukhsa!
 
Du ni Rostam aziz ndo mwakilishi wa Dowans amyo haijaandikiswa hapa nchini ila ni Kampuni ya huko Costa Rica ambayo ilipewa mkataba na RDEVCO L.L.C ya Texas Marekani
Dowans na richmond bado ni wabia
 
Genge la Mafisadi ndilo linamiliki hiyo kampuni.... NAAMINI DR. SLAA ITAFIKA SIKU ATAWATAJA WOTE,, NA HIVI WAMESHAMTIBUA KUMKAMATA LEO KWA KOSA LA ARUSHA...YAANI NDO WAMEHARIBU KABISA....

UKITAJA WAMILIKI WA HIYO KAMPUNI, HUWEZI ACHA TOP LAYER YA SISIEM PALE JUU, PATAMU HAPO.......
 
Mmiliki wa Dowans mbona alishatajwa na ni wanchi gani, suala ni utaratibu gani utumike ndio sula la msingi. Tatizo letu tunajazba sana bila ya kuangalia utaratibu, sheria na kanuni.
 
Ni ya kikwete ndiyo maana kikwete aliambiwa na mpambanaji na rais wetu aliyedhurumiwa kuwa awataje wahusika na kikwete hawezi kuwataja wakati yeye ndiyo mhusika mkuu
 
Back
Top Bottom