Recent content by hali mbaya

  1. H

    Bata wangu anakula mayai yake

    Tatizo ni chakula na majani, hakikisha chakula na maji kinakuwa karibu ili asipate usumbufu. Vilevile hakikisha chakula kina virutubisho vyote.
  2. H

    Msaada wa jinsi ya kupima/kuhakiki ubora wa mbolea

    Wadau nina changamoto ya jinsi ya kupima mbolea ili niweze kuhakikisha ubora wake ie kujua kama imeharibika au la. Nahitaji kupima mbolea ya NPK na UREA. Msaada please.
  3. H

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Suruhisho ni revamp ya wachezaji mafaza, uza Ronaldo, marcelo, ramos, na benzema
  4. H

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tatizo wachezaji hawana hali ya ushindi, labda kwa sababu wameshinda kila kitu. Wanatuzingua na mpira usioeleweka
  5. H

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tatizo sio key players tuna nuksi tu mpira hautaki kuingia nyavuni, hii inawapa nguvu Alaves na mechi kuwa ngumu kwetu.
  6. H

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Madrid 1 - Bayern 2
  7. H

    Je, kwanini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au zinaa imekatazwa?

    Vp mtu anayefanya zinaa na kutumia mpira, madhara haya hayampati?
  8. H

    Bunge la Tanzania linairudisha nyuma nchi

    Wote ni wale wale CHADEMA wanapaswa wajipange na kuleta ushawishi kwa wenzao. Jana walikuwa wanataka JK arudi while wao ndio walituaminisha kuwa si kiongozi mzuri.
  9. H

    Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Hizi ni game za kisiasa sometimes unahitaji uliwe ili ule. Pole mheshimiwa unahitaji elimu na weledi zaidi.
  10. H

    Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

    Hayo ndio maamuzi magumu, ila tafuta nina rotti wa ukweli akusaidie kusahau.
  11. H

    Why are so many scientists atheists/agnostics despite so many miracles in nature?

    Mfano maisha yetu kwa ujumla kwa kutojua kesho, ndoto, usingizi, etc
  12. H

    Dar es Salaam Institute of Technology, first year!

    Hakuna haja subiri matokeo, mara nyingi selection ya chuo na kozi inategemeana na matokeo uliopata. Otherwise matokeo yakiwa mabaya na haujachaguliwa ndo unaweza omba Access Course
  13. H

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hila forward zinaboa zaidi
  14. H

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Beki mbovu, watu wa mwisho wanazingua Ronaldo benzema na asensio wanapoteza sana mipira.
Back
Top Bottom