Nini hutokea na kupelekea risasi kupungua madhara kutokana na umbali?

Kwanza nataka nikusahihishe kidogo ingawa vingi upo sahihi. Kariba ya bunduki sio inayoamua risasi ianze kuleta madhala kuanzia umbali gani bali kazi ya kariba ni kuifanya risasi iende katika usahihi na mnyooko unaotakiwa kutokana na uwezo wa mwendo uliotengenezewa aina hiyo ya risasi . Ndiomaana kila bunduki ina kariba ya ukubwa wake ingawa zipo zingine zinazolingana kama kariba ya SMG, SAR, LMG etc na zote zinatumia aina moja ya risasi.
Kwasababu umechukulia SMG kama ndio reference wacha tusonge nayo hii; kinachoifanya risasi ikimbie umbali fulani na kuua au kujeruhi ni ujazo wa baruti, kuna baruti za aina mbili, baruti nyepesi ambayo kazi yake ni kusababisha mlipuko baada ya Pin kugonga nyuma ya risasi na baruti nzito inayoisafirisha risasi. Baruti hii ndio hujazwa kutokana na malengo ya umbali anaoutaka mtengenezaji. Kwa risasi inayotimiwa na bunduki ya SMG inauwezo wa kusafiri 800m kwa sekunde, kuua kuanzia mlengaji alipo hadi umbali wa 1500m na kujeruhi kuanzia 1500m mpaka inapokosa nguvu na kudondoka chini ambao ni umbali wa 2160. Na nafikili hapa ndipo kipo kiini cha swali lako kwanini hujeruhi kuanzia 1500m?
Nimetengeneza space nitarudi maana natumia simu

Kwasababu umechukulia SMG kama ndio reference wacha tusonge nayo hii; kinachoifanya risasi ikimbie umbali fulani na kuua au kujeruhi ni ujazo wa baruti, kuna baruti za aina mbili, baruti nyepesi ambayo kazi yake ni kusababisha mlipuko baada ya Pin kugonga nyuma ya risasi na baruti nzito inayoisafirisha risasi. Baruti hii ndio hujazwa kutokana na malengo ya umbali anaoutaka mtengenezaji. Kwa risasi inayotimiwa na bunduki ya SMG inauwezo wa kusafiri 800m kwa sekunde, kuua kuanzia mlengaji alipo hadi umbali wa 1500m na kujeruhi kuanzia 1500m mpaka inapokosa nguvu na kudondoka chini ambao ni umbali wa 2160.
Asante sana mkuu umenipa shule
Safi sana
 
Naenda moja kwa moja kwenye swali lako la msingi.

Kuna mambo manne ambayo unatakiwa uyajue kuhusu Velocity au Earth gravitational force......Ili risasi iwe na constant and unchanging speed, level of direction and power lazima vitu hiv vinne vihusike wakati wote.

1. Thrust
2. Drug
3. Lift
4. Weight

Sasa basi....ili risasi iendelee kwenda mbele bila kupunguza nguvu yake na speed yake lazima kuwe na baruti yenye ujazo/nguvu na mtutu mrefu ambao una mistari yenye uwezo wa kuizungusha vizuri ile risasi pindi inapopita ndani ya mtutu huo.....hii itaisadia risasi kuwa na uwezo wa ku-thrust dhidi ya drug forces ambazo huwa zinatokea pale risasi inapokuwa inatembea katika space(hewani kabla ya kukutana na target)

Drugs forces huwa zipo tu...hata binadamu unapokuwa unakimbia kwa kasi lazima ukutane na kani ya ukinzani mbele yako.

Kingine ili risasi iendelee kuwa katika the same level ya target yako...hapa namaanisha kuwa ili risasi isianguke basi inatakiwa Lift force yake iwe kubwa kuliko Weight yake....hiyo ndio formula...ikitokea imefika wakati lift force ya risasi imekuwa ndogo zaidi ya weight yake basi ndipo pale inapoishiwa nguvu hata ya ku-penetrate katika target ...au isipokutana na target huishia kuanguka chini.

Tunajifunza nini katika hili.....Kiukweli ni kwamba kila silaha ina uwezo wake wa kufikisha risasi yake katika umbali husika lakini pia kila silaha ina uwezo wake wa nguvu wa ku-hit au ku- destroy target kwahiyo it depends on ability of the particular gun.
 
Jibu la kisayansi ni kwamba momentum ya risasi huenda ikipungua kadiri risasi inavyosonga mbali na mahali ilipofyatuliwa. Hii hupelekea Force of impact kupungua kwani kuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya momentum, uzito wa risasi, na kasi ya risasi.
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..
 
if you hold a bullet in one hand and a pistol in the other, both hands at the same height, and subsequently fired the pistol at the same time as dropping the bullet, both bullets would hit the ground at the same time (assuming the fired bullet encounters no obstacles). Is this true..?

Not true
 
It's true.
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..

Wewe ulikua teja na kwa sasa uko sober house sijui simu kakupa nani wakati anajua bado hujapona.
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..
Shulegani hiyo watu wa PCM wanachora mistari kawa watu wa BOKEEPING umejaza maherufi mabubwa utafikili unawaandikia vipofu
 
Kwanza nataka nikusahihishe kidogo ingawa vingi upo sahihi. Kariba ya bunduki sio inayoamua risasi ianze kuleta madhala kuanzia umbali gani bali kazi ya kariba ni kuifanya risasi iende katika usahihi na mnyooko unaotakiwa kutokana na uwezo wa mwendo uliotengenezewa aina hiyo ya risasi . Ndiomaana kila bunduki ina kariba ya ukubwa wake ingawa zipo zingine zinazolingana kama kariba ya SMG, SAR, LMG etc na zote zinatumia aina moja ya risasi.
Kwasababu umechukulia SMG kama ndio reference wacha tusonge nayo hii; kinachoifanya risasi ikimbie umbali fulani na kuua au kujeruhi ni ujazo wa baruti, kuna baruti za aina mbili, baruti nyepesi ambayo kazi yake ni kusababisha mlipuko baada ya Pin kugonga nyuma ya risasi na baruti nzito inayoisafirisha risasi. Baruti hii ndio hujazwa kutokana na malengo ya umbali anaoutaka mtengenezaji. Kwa risasi inayotimiwa na bunduki ya SMG inauwezo wa kusafiri 800m kwa sekunde, kuua kuanzia mlengaji alipo hadi umbali wa 1500m na kujeruhi kuanzia 1500m mpaka inapokosa nguvu na kudondoka chini ambao ni umbali wa 2160. Na nafikili hapa ndipo kipo kiini cha swali lako kwanini hujeruhi kuanzia 1500m?
Nimetengeneza space nitarudi maana natumia simu

Kwanza nataka nikusahihishe kidogo ingawa vingi upo sahihi. Kariba ya bunduki sio inayoamua risasi ianze kuleta madhala kuanzia umbali gani bali kazi ya kariba ni kuifanya risasi iende katika usahihi na mnyooko unaotakiwa kutokana na uwezo wa mwendo uliotengenezewa aina hiyo ya risasi . Ndiomaana kila bunduki ina kariba ya ukubwa wake ingawa zipo zingine zinazolingana kama kariba ya SMG, SAR, LMG etc na zote zinatumia aina moja ya risasi.
Kwasababu umechukulia SMG kama ndio reference wacha tusonge nayo hii; kinachoifanya risasi ikimbie umbali fulani na kuua au kujeruhi ni ujazo wa baruti, kuna baruti za aina mbili, baruti nyepesi ambayo kazi yake ni kusababisha mlipuko baada ya Pin kugonga nyuma ya risasi na baruti nzito inayoisafirisha risasi. Baruti hii ndio hujazwa kutokana na malengo ya umbali anaoutaka mtengenezaji. Kwa risasi inayotimiwa na bunduki ya SMG inauwezo wa kusafiri 800m kwa sekunde, kuua kuanzia mlengaji alipo hadi umbali wa 1500m na kujeruhi kuanzia 1500m mpaka inapokosa nguvu na kudondoka chini ambao ni umbali wa 2160.

Maximum range ya bunduki inapatikana kwa angle ya elevation 45 degrees, hivyo ni muhimu kujua umbali ambao kutakuwa na mnyooko wa kulenga shabaha na ule ambao yaweza kuua au kujeruhi bila dhamira ya mpigaji.
 
majibu mepesi na yanayoeleweka kirahisi kulingana na muuliza swali ndio haya ,vingine mnavyovitolea maelezo sidhani kama vina muhimu labda kama muuliza swali angetaka kuuliza kulingana na majibu haya aliyopewa
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..

Utumbo.
 
Wonders shall never ends. ... naapa mbuzi aningate ningekuwa moderator ningekulima bun. Dadeq
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..
We ni MPUMBAVU
 
Back
Top Bottom