Dar es Salaam Institute of Technology, first year!

Dar es Salaam Institute of Technology, first year!

kaka umesema kweli ujue, hata me nilipakimbia hapo ujue nilikuwa nasoma telecommmunication engineering,nilianza na certificate nilijikaza nikamaliza fresh,diploma mmhh, nimechemsha nikaacha nikaenda kupiga course flan hiv ya biashara ilikuwa mwaka juzi 2013,,,,Me nilichoka Theory nying bila placticals,modules ndo usiseme yaani nilikuwa sielewi bro,
 
nmeambiwa niandike barua kuna nafac block 3...
nmeviangalia vyumba vyake vmechoka knoma.
 
kaka umesema kweli ujue, hata me nilipakimbia hapo ujue nilikuwa nasoma telecommmunication engineering,nilianza na certificate nilijikaza nikamaliza fresh,diploma mmhh, nimechemsha nikaacha nikaenda kupiga course flan hiv ya biashara ilikuwa mwaka juzi 2013,,,,Me nilichoka Theory nying bila placticals,modules ndo usiseme yaani nilikuwa sielewi bro,

Dit bhana mi mwenyewe nilipakimbia

Hasa kwenye IPT placement daah watu wana safa pale kutafuta sehemu ya kufanya IPT .

Halafu department zao haziwasaidii wala nini.

Unamaliza mwaka umejaza mi theory tu kichwani.
 
hiv ukichagua chuo first selection kwenye selform za form four kuna haja ya kuapply tena
 
hiv ukichagua chuo first selection kwenye selform za form four kuna haja ya kuapply tena
Hakuna haja subiri matokeo, mara nyingi selection ya chuo na kozi inategemeana na matokeo uliopata.

Otherwise matokeo yakiwa mabaya na haujachaguliwa ndo unaweza omba Access Course
 
Hakuna haja subiri matokeo, mara nyingi selection ya chuo na kozi inategemeana na matokeo uliopata.

Otherwise matokeo yakiwa mabaya na haujachaguliwa ndo unaweza omba Access Course
Nna phys B chem B Math A bios A vp naeza fanikiwa chuo moja kwa moja kwenye ile selform
 
Hahahahah haya bhana subiri ukifika pale utaniambia .

Dept ya comp pale imeoza hamna kitu watu wanaenda basi tu we ukienda pale lazima uwe plan mbadala la sivyo utagraduate lazima utaona kama umepita tu.
DIT wako vizuri Electrical Engineering, Civil Engineering, Mechanical Engineering,Labotory Science(sikumbuki wanaiitaje siku hizi) na Telecom.
Tangu awali DIT waalimu wa Computer ni wachache. Kwa upande wa Telecom wako vizuri na mtaani huku, Engineers wazuri sana wa DIT wako Vodacom, TIGO, Airtel, Viettel, Huawei, na Makampuni makubwa kama Helios Towers, Reime nk
Kwa Telecom Engineering kuna vichwa pale, kuna jamaa yuko mkimya, somebody Mwalembe huyo ni hatari hata kwa ubunifu. Kwa Tanzania jamaa wa Telecom wamekuwa watu wa kwanza kufanya design za taa na zikafanya kazi, na huyu Mwalimu Malembe alidesign mataa pale Mnazi Mmoja, na mbele ya Mnazi mmoja pale kidongo chekundu lakini pale Sealander Bridge.
Kwa upandea wa Civil, Electrical na Mechanical, hizo ndo ziko poa sana na hata waalimu wapo wengi tu. Kwa sasa kuna Mining Engineeringna Gas/Petroleum Engineering(hizo zote ziko under Civil Engineering Umbrella)
Yote kwa yote pale lazima upige msuli hamna longolongo! Ukiwa determined unatoka vizuri na mtaani kazi zipo, kwa Computer sina hakika sana ila naona kama kuna changamoto kidogo hata mtaani, japo mtaani bado kuna jamaa zangu wa Computer wako vizuri tu. Jipange, soma kwa bidii na utatoka tu.
 
Back
Top Bottom