Je, kwanini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au zinaa imekatazwa?

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*

Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne: • PROTEIN, • ACID, • SPERM au CHROMOSOME, • VIRUS.

PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama utajilazimisha utapata madhara.

ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii. Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile (mashoga) hata kama zamani alikuwa strong (imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii. Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia ukamuingizia manii ambayo yana acid, acid ile itapanda katika maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto akinyonya atanyonya maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea au kwa watu wa pwani wanaita kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto. Lakini kama atakula acid ya baba yake hatadhurika sana, sababu atakula acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika virginal wall.

SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya reproduction na gynecology wanatueleza kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi Mungu.

VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na mtu m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi. Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu) maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu mwanaume anapotoa manii yake yenye protein,acid sperm/chromosomes na virus kila kimoja huchukua nafasi yake kwenda kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate kuish humo kwa kuwa ndipo alipowapangia Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa virus wasiokuwa wako.

Hivyo hawa wapya wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao wametokea wapi? Mbona si katika wale tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus wenyeji watawashambulia virus wageni kama antibody bacteria (kitu kinachotoka nje ya mwili). Na katika mapigano haya watapelekea kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea wapi? Jibu ni pale pale walipoingilia.

Hapo sasa ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi kushambuliwa na virus wa zamani itabidi watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo mume akimuingilia mkewe naye pia atapata ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa urinary truck (mrija wa mkojo).

Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya mumewe pekee. Na hapa ndipo tunapoona hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii ni kwa sababu mwanamke anapokea manii yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwa mumewe. Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze.

Hapa ndipo inapopatikana hekima ya mwanamke aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi cha miezi mine na siku kumi ambacho mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa protein inayopatikana katika manii ambayo ndio chakula chao, hivyo kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama ataolewa tena na mume mwingine huyu mume mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina madhara yake. Njia bora ya kupambana na magonjwa mbalimbali kama UKIMWI ni kuacha Zinaa.

*Ukipata muda share hiyo ni Mafundisho mazuri sana*
 
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*

Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
• ACID,
• SPERM au CHROMOSOME,
• VIRUS.

PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food
Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii
inapatikana ndani ya manii na pia watu wa
mambo ya reproduction system (mfumo wa
uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na
aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una
njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama
utajilazimisha utapata madhara.

ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye
ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye
tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia
kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo
sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke
aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi
zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule
aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi
sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii.
Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako
ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana
ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya
katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata
ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma
mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano
mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume
ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile
(mashoga) hata kama zamani alikuwa strong
(imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea
kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu
sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii.
Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia
mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia
ukamuingizia manii
ambayo yana acid, acid ile itapanda katika
maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto
akinyonya atanyonya
maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea
au kwa watu wa pwani wanaita
kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto.
Lakini kama
atakula acid ya baba yake hatadhurika sana,
sababu atakula
acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila
mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto
ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu
ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si
ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa
ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid
kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika
zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika
virginal wall.

SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana
ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya
mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani
mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na
nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na
joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya
reproduction na gynecology wanatueleza
kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto
milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa
kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa
kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi
sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama
yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi
Mungu.

VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo
vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na
mtu
m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya
zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus
wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi.
Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu)
maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu
mwanaume anapotoa manii yake yenye
protein,acid sperm/chromosomes na virus kila
kimoja huchukua nafasi yake kwenda
kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika
vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate
kuish humo kwa kuwa ndipo alipowapangia
Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia
mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus
wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo
kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana
virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale
ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo
akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa
virus wasiokuwa wako. Hivyo hawa wapya
wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale
matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo
alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya
wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa
mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao
wametokea wapi? Mbona si katika wale
tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus
wenyeji watawashambulia virus wageni kama
antibody bacteria (kitu kinachotoka nje ya
mwili). Na katika mapigano haya watapelekea
kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale
waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea
wapi? Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa
ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia
virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi
kushambuliwa na virus wa zamani itabidi
watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili
wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo
ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali
wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha
magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo
mume akimuingilia mkewe naye pia atapata
ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus
wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini
zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa
urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni
uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni
kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani
mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya
mumewe pekee. Na hapa ndipo tunapoona
hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa
baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha
mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na
mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii
ni kwa sababu mwanamke anapokea manii
yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwa
mumewe. Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa
awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya
ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapa
ndipo inapopatikana hekima ya mwanamke
aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka
lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama
mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi
cha miezi mine na siku kumi ambacho
mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi
hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa
protein inayopatikana katika
manii ambayo ndio chakula chao, hivyo
kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika
kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama
ataolewa tena na mume mwingine huyu mume
mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo
haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi
Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina
madhara yake. Njia bora ya kupambana na
magonjwa mbalimbali km UKIMWI ni kuacha
Zinaa.

*ukipata muda share hiyo nii Mafundisho mazur sana*
Nimekuelewa vzr
 
Jaribu kuandika na sources ulikotoa ili kuonesha appreciation kwa waliofanya kitu hicho, kuliko kuandika kama umefanya ugunduzi wewe kumbe sio
 
Quran :Al israa 7:32
"wala msiikaribie zinaa, hakika huo ni uchafu na njia mbaya ".
Kukithiri kwa zinaa ni ishara tosha kuwa ni dalili za kiama,

HADITHI :" kutokana na Abdillahi ibn Umar ibn Aas (R.A) amesema,

Mtume (S. A. W) amesema : "Hakito simama kiama mpaka wataingiliana njiani uingilianaji wa punda, nikauliza, itakuwa hivyo? Akajibu ndiyo itakuwa"

Bila shaka sote ni mashahidi kwani zipo clip nyingi zinasambaa za watu wakifanya ngono hadharani na watu wanafurahia tu!!!?

Tuache kuzini, kwani madhara yake ni mengi kuliko faida.

Na ukiwa mzinifu basi lazima nyumbani kwako atokee mzinifu mwingine ktk kizazi chako ama Ndugu zako, awe wa kike ama wa kiume.

"Jizuieni na zinaa, watajizuia wake zenu na haramu, na jiepusheni na yale yasiyo fanana na muislamu. Hakika zinaa ni deni ukilikopa litalipizwa kwa watu wa nyumbani kwako.
(Diywan Imam Shafii)

Chunguza familia nyingi utagundua hili.

HADITH: Kutokana na Abii Umaamah (R. A) amesema : Hakika kijana miongoni mwa answar alimuendea mtume (S. A. W) akamwambia :"ewe mjumbe wa Mwenyezi Mungu, niruhusu nifanye zinaa.

Basi akawageukia watu (SAW) wakazozana wakisema nyamaza, nyamaza, akasema (mtume) msogezeni, akasogea karibu akakaa, akamuuliza :"unapenda (kuziniwa) mama yako? Akasema hapana, naapa kwa Mwenyezi Mungu anifanye Mwenyezi Mungu kuwa fidia kwako, akasema "hata watu hawapendi kwa mama zao (kuziniwa) .

Akamuuliza, JE unapenda (kuziniwa) kwa bint yako? Akasema hapana, naapa kwa Mwenyezi Mungu ewe mtume wa Mwenyezi Mungu, anifanye Mwenyezi Mungu fidia kwako. Akamwambia, hata watu hawapendi kuziniwa bint zao.

Akamuuliza, JE unapenda kuziniwa shangazi yako?......."

Hadithi ni ndefu, ila funzo tunalplipata ni kuwa hakuna mtu anayependa kusikia mtu fulani ana mzini mwanaye. Hivyo kama wewe unachukia kuziniwa Ndugu ama mtoto wako, basi vivyo hivyo na wengine wanachukia watoto au Ndugu zao kuziniwa.

Anza leo kuacha uzinifu usevu your generation

MZINIFU HANA AKILI

MITHALI 6:32-33
"Mtu aziniye na mwanamke, hana akili kabisaa, afanya jambo litakalo mwangamiza nafsi yake.

Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima, wala fedheha yake haitafutika"

NAAAM!!!
 
Back
Top Bottom