Recent content by gwandumi

  1. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Orodhesha degree useless tz mdogo wako asizisome mwaka 2025/26

    Mtaala wabongo ndo unamuandaa mtu kuwa mwajiriwa. Inapaswa kubadili mitaala yetu uwe ktk mlengo wa Hilo ulisemalo wewe.
  2. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Dhana na Miongozo ya "Katika Utawala Wangu..."

    Neno kubwa
  3. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Mama Anne Makinda awapa 'makavu' Mawaziri wa Rais Magufuli

    Ivi unadhan makinda anakumbukwa kwa lipi jema haswa? Au Unajitoa ufahamu?
  4. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Je we ni mwarabu? Km sio mwarabu....unaaminije kiasi icho kitabu ulicholetewa na waarabu na imani zao?
  5. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Kwanini usichukue muda wako nawe ukaanza kuchimba historia ya mtu mweusi kuliko kukakamaza shingo?....ukombozi wa watu huanza katka kujitambua kwanza....swali la kwanza huwa mimi ni nani?? Nimetokea wapi? Asili yangu historia yangu?....kujikomboa kitamaduni kijamii...kifikra...ndiko hupelekea...
  6. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Kama hujui kaa kimya usilete porojo... Ukweli hautobadilika kwa sababu ya mtizamo wako....
  7. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Angalia pua ya hili sanamu....sio og hii ni counterfeit
  8. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Hata hii michoro mingi imechakachuliwa...
  9. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Herode alikuwa mtawala alowakwa na waroma....ni sawasawa na useme tanganyika si ilikuwa. Chini ya gorvenor richard turnbull kwa iyo watanganyika walkuwa wazungu???...try to dig deep na kusoma zaidi
  10. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Rare to find:Old bongo Fleva Music

    hii hapa ya solothang aka ulamaa-homa ya dunia........ aisee kama kuna mtu ana yoyote kati ya hizi ...nazitafuta saana.. -artful dodgers (Mapacha0,big 4da geez(geez mabovu), fid q, na squeezer- TUPO TOWN -Big 4da gees (Gees mabovu)-CHAUSIKU ft daz mwalimu, SERO ft. noor elly -Squeezer ft dataz-...
  11. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Rare to find:Old bongo Fleva Music

    aminia mzee iyo mida ya kazi ni bonge la pini....'kufungua mawazo, funguo kambi unazo....kuirudi km kitasa...
  12. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Zamani, Hadithi ya Allan Quatermain

    ntakipata wapi icho kitabu... kilichotafsiriwa???
  13. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Zamani, Hadithi ya Allan Quatermain

    iko poa mkuu... endelea baasi
  14. gwandumi

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kupendwa na kuonyeshwa mapenzi

    NENO bab
Back
Top Bottom