ahhhh lazima tubadilishe mbinu, nina Rafiki angu huyo ni kiboko wa ku fake, huwa namuambia unaishi maisha ya kitumwa sana. Yaani hata kitu hajakipenda anakuja kulalamika pembeni mi siwezi kwa kweli. Hii thread ina ukweli 97%
Watoto wa siku hizi wanapenda sana mapenzi ya kitamthilia, khe khe khe khe khe!!!Muda wa kulilia mapenzi ama kubembelezana hakuna jamani, sijui labda wawasubirini vijana wa under 30 ndio wawe wanawalialia na kutoa kamasi.
.......waonyesha mapenzi.
Hahahaaa haya bana..
Nice & True Research from Mdharuba, ukiendelea hv utakuja kuwa bonge ya Relationship Consultant.
Good work Bro. Bg Up.....
NENO babmuonyesha mapenzi unamtongoza leo kesho anaweka status fb,dp whatsapp na mipicha yako kibao insta..ukiwa ndezi lazima ukamatike