SLEDGEHAMMER
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 1,030
- 5,969
Na wewe unalalamika nchi imejaa walalamikaji.Nchi imejaza walalamikaji,hadi Raisi analalamika kwamba brela wanasuasua kwani hana mamlaka ya kuwafuta kazi?
Mimi nasema brela brela brela watch out mtasomwa magazetini