Recent content by gwami

  1. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

    Hii ni kweli kabisa...aisee usithubutu kumuonyesha mke wako kwamba hauwezi pata mbunye somewhere else, atakunyima kila mara akijua huwezi fanya lolote! Na ukikaa hovyo ataigawa kama njugu nje wakati wewe unaugulia genye za kutosha! Marriage ni mateso kwa mwanaume hasa ukioa for the wrong reasons!
  2. gwami

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Karatasi halisi za Matokeo Ya Uchaguzi wa Buyungu zimeokotwa! Mgombea wa CHADEMA Elia F. Michael alishinda

    CHAMA CHA MA MAFIA katika ubora wao, CCM kamwe haiwezi kushinda chaguzi pasipo msaada wa polisi na Tume ya makinikia! "Political language is designed to make lies sound truthful, and murder respectable" George orwell.
  3. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Videos & Audio production special thread (Softwares)

    Mi ni beat maker wadau,nnawezaje kupata nexus 12 plugin?natumia fl studio 12.
  4. gwami

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kama kijiji

    Unapolinganisha mbeya na Arusha kuna mambo mengi ya msingi ya kuangalia,mfano Arusha ni mji wa kitalii,na kila mtu analijua hilo,sasa hata hotels za hapo lazima zitakuwa za hadhi kubwa kutokana na uwepo wa foreigners wengi,pia mahakama ya kimataifa ya kimbari na ukumbi wa mikutano wa kimataifa...
  5. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somo; Vijana kabla ya ndoa kuweni makini na hili.....

    Ushauri kuntu kabisa huu,japo kuna watu watakuja na cheap excuses!
  6. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Lone survivor.
  7. gwami

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Haki huinua taifa,bali dhambi ni aibu ya watu wote,kama haki haitaendelea kutendeka,na hapa simaanishi kwenye maswala ya siasa tu,hata tujitume namna gani,huko kujitegemea mnakokusema tutaishia kusikia redioni tu,i think its time sisi kama watanzania tu acknowledge kwamba kilicho fanyika...
  8. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan & Tanzanian Surburbs

    Viva dar.
  9. gwami

    JamiiForums Tanzania Mapozi ya wanyakyusa ni sheeeder.

    umeona eeh?ngoja tunyamaze bana!
  10. gwami

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania yupo Marekani,Rais wa Ukrain yupo Marekani

    hihihi true!.
  11. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke ukishamtumia kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena

    well said mkuu!
  12. gwami

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

    hahahahaha umenichekesha sana mkuu!
  13. gwami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    umewaona wangapi?generalization mbaya sana mkuu!
Back
Top Bottom