bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
We are born to be leaders jamani...yaani inatokea automatically zoeeni tu..kama mambo ya msingi unapata hizo nyingine fumba macho..
Ningeweza kukupa like za kumwaga kwa Majibu yenye HEKIMA ya hali ya juu sana.
safi Madam T