Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

We mpuuzi kweli sijui kama unajua unaloongea, akili yako ipo kisiasa zaidi. Unafikiria karibu sana. Unaongea nonsense confidently. [emoji57]
Tatizo sio kwamba haitotiathiri. , Ila wa Tz tunainekana waj... Kwa kufanya maamuzi ya kishenz.
Fikiria kwann wamesitisha kwanza ndo ujadili utasolve vipi.
Hii ni sawa Na kumfadhili mtoto asiyejishughulisha kusoma.
Think buddy Ts your time.
Hahahaaaaa! Kwa taarifa yako mm sio mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu kwa moyo wangu wote na akili zangu zote. Mapenzi yangu kwa nchi yangu ndiyo yanayofanya niwashangae watu kama nyie ambao hamuwezi kutatua matatizo yenu ya kiuchumi na kisiasa bila kutegemea misaada kutoka kwa wazungu! Wanawadanganya eti demokrasia my foot! Wana demokrasia gani hao zaidi ya kuingilia masuala ya nchi zingine na nyie kama mazuzu mnakubali! Shame on u guys!
 
Report ya CAG inaonyesha kuna upotevu wa fedha kizembe zaidi ya trillion 2 hao MCC wamekomaa na trilion 1. bora lipi hapo kupiga magoti hela za kuomba au kukomaa na hela unazoibiwa?
Unauhakika itaipata hiyo iliyoibiwa?
 
Ni kweli lakini tatizo si kunyimwa msaada bali sababu zake na zilikuwa za lazima.
 
Hahahaaaaa! Kwa taarifa yako mm sio mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu kwa moyo wangu wote na akili zangu zote. Mapenzi yangu kwa nchi yangu ndiyo yanayofanya niwashangae watu kama nyie ambao hamuwezi kutatua matatizo yenu ya kiuchumi na kisiasa bila kutegemea misaada kutoka kwa wazungu! Wanawadanganya eti demokrasia my foot! Wana demokrasia gani hao zaidi ya kuingilia masuala ya nchi zingine na nyie kama mazuzu mnakubali! Shame on u guys!
Kwakuwa wanaingilia NCHI zingine nanyie ndo mkaamua kuiga kuivamia Zanzibar.....wenzenu wanaiga mambo ya maana nyie manaiga yakijinga
 
Walimu waliahidiwa kulipia mwezi ujao. Naona kama vile serikali itaahirisha.
 
Napita tu wandugu, ningali nasubiri muda uje unipe majibu muswano.
 
Haki huinua taifa,bali dhambi ni aibu ya watu wote,kama haki haitaendelea kutendeka,na hapa simaanishi kwenye maswala ya siasa tu,hata tujitume namna gani,huko kujitegemea mnakokusema tutaishia kusikia redioni tu,i think its time sisi kama watanzania tu acknowledge kwamba kilicho fanyika zanzibar si haki hata kidogo.kama haki haitatamalaki basi laana itatamalaki,na hii huja kwa njia tofauti tofauti,nimalize kwa kusema,TUSIMAMIE HAKI hayo mengine yatajipa yenye!Mbarikiwe.
 
Nakubaliana na mantiki ya Rais kuhusu umuhimu wa nchi yetu kujitegemea. Ila suala hili lilitakiwa kupangiwa mkakati wa muda mrefu kidogo siyo hii ya kushtukizwa na wafadhili wanaokatwa misaada yao halafu tunaanza kuongelea kujitegemea bila kueleza tunafidia vipi mapengo yanayoachwa na fedha za wafadhili zinazoondoka.
Hatujashutukizwa. Wakati tukipeleka bakuli tulipewa masharti.
 
Mheshimiwa Rais asitumie mifano rahisi kwa masuala magumu. Masharti haya si kikohozi, yalikubaliwa na serikali yetu kwa kuyaona yanafaa, na kwa kweli ni jambo la haki kabisa kujenga demokrasia kwa sabababu ndiyo njia tuliyoichagua. Sasa ikiwa serikali hiyo hiyo iliyokubali kujenga jamii kidemokrasia inapoacha maadili ya dhana hiyo na kujifanyia itakavyo kwa kufanya ubabe, dhuluma na ubaguzi wa wazi, wenye akili waiache tu iendelee bila kukemewa? La hasha, nawaomba wazungu waendelee kwa nguvu zote kukemea ubabe huu wa kuita wengine machotara na Hizbu kwa sababu tu ni lazima ccm itutawale!
 
Watanzania kwa kujiliwaza bwana! hebu twende taratibu budget ya fedha ya mwaka 2015/2016 ilikuwa trion18,kat ya hizo za nchi wahisani zilikuwa ngap? mtu anakwambia imefka wakat tujitegemee wakat anajua hata umeme wa kuwasha nchi nzima kwa siku mbili tu mfululizo haupo mpaka wazungu.miaka zaid ya 50 ya Uhuru watoto bado wanakalia vidumu mashuleni et tujitegemee! nchi huwez kutengeneza kibert,njiti nk,Wazungu wakifunga hata nguo za mitumba tu zisije Tanzania najua tutavaa magome ya miti.watanzania wanafukiwa kifusi mgodin zana za kuokolea ni koleo,et tujitegemee!!! dawa zote mhm ni made in India hiv zikizuiwa tunarud kwenye mit shamba au? Leo wote walinaoshangilia heti ni wakat wa kujitegemea wanasahau kuwa kila mwaka budget inategemea vinywaji,sigara,pombe n,k. Mda wa kujitegemea bado labda watanzania tujiandae kulipa kodi ya kichwa,make TRA watakamua mpaka mwisho.mfano: kijana unasaloon yako ya kunyoa nywele ukifungua tu unakutana wafuatao;TRA wanataka mapato.Halmashauri wanataka LESENI.wanakuja FIRE wanataka MTUNGI, anakuja mtendaji anataka MCHANGO WA SEKONDARI,Wanakuja wa USAFI wanataka DIABA hapo unalipa na pango.hv kwa mtiririko huo kijana utasalimika?
 
Kwakuwa Rais kasema. Kwa Tanzania Maneno ya magufuli yatapongezwa sana.

Hata Kikwete alipongezwa sana lakini leo anabezwa😱
 
people used to die in the rake in magus voice
Luga gani hii umetumia hapa? Kimagufuli au kimahiga?

Nimetumia kamusi lakini sikufahamu ulichoandika.
john agrey una "kidhungu" kigumu, ile ngumu na nzito kabisa. Kiranga au Nyani Ngabu mukuje hapa, msaada wa tafsiri unahitajika.
 
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Anacho sema kinadharia ni sahihi kabisa na ni kweli sisi ni matajiri sana.Sasa jiulize hivi wazungu wakiacha kuja kutembelea mbuga zetu tunaweza kupata fedha zozote? wakikataa kununua chai, kahawa n madini yetu yote badala yake wakanunua kutoka Nchi zingine utafanya nini na huo utajiri wa madini na gesi? Miaka ile Nyerere alipo taifisha mashamba ya chai na katani ya wazungu alijuta. wazungu wakaacha kununua chai yetu na katani mpaka akajuta akaamua kurudisha mashamba yote ya chai aliyo taifisha.Leo vijana mnashabikia kushindana na mzungu! na kulima kwenyewe hamjui!
 
Hizo cyber crime law ambazo hata wananchi wenyewe tunazichukia maana ni upuuzi mtupu,ondoa hizo laws za kipuuzi and everything will be fine maana ndio issue hiyo,sheria za kikandamizaji na wizi wa kura hauna nafasi dunia ya leo lazima Magufuli wakukomeshe na utasalim amri tuu soon or later
 
Back
Top Bottom