Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Kuna watu na viatu lakini wewe hata hadhi ya yeboyebo hujaifikia,kwa taarifa yako uliza wenzio unaosheherekea nao #MayDay kila mwaka ambao wanaishi mbeya watakwambia,mbeya ni mji mzuri kimazingira,kiuchumia na hasa gharama za maisha ni nafuu ukifananisha na miji mingine.
 
Unapolinganisha mbeya na Arusha kuna mambo mengi ya msingi ya kuangalia,mfano Arusha ni mji wa kitalii,na kila mtu analijua hilo,sasa hata hotels za hapo lazima zitakuwa za hadhi kubwa kutokana na uwepo wa foreigners wengi,pia mahakama ya kimataifa ya kimbari na ukumbi wa mikutano wa kimataifa upo hapo,bila kuacha factors za kisiasa na kiuchumi,sasa kwa Mbeya ambayo maendeleo yake mostly yamechangiwa na nguvu za wana mbeya wenyewe,hata hapo walipofika mi nadhani ni hatua nzuri kabisa,Mbeya ni kama ilikuwa isolated kwenye maswala mengi ya kimaendeleo atlest now tunaanza kuona Mwanga!Viva Mbeya,God bless Mbeya!
 
Geneva of Africa Mbeya? Vigorofa vya kuhesabu nyumba za matope mpaka katikati ya mji. Matajiri wengi wa mbeya wana hela za kiuchawi full mashariti
Tandale hakuna nyumba za tope? Kwani kuwa na ghorofa ni kitendo cha kuendelea? Mbeya imepitiwa na bonde la ufa matetemeko ya ardhi yalikuwa mwanzo mwisho ndo mana kuna uhaba wa hicho unachokipenda uwe mpana wa kufikir japan wako vizur kiuchumi na viwanda kuna sehemu wanajenga nyumba za mbao wajua kwa nn?
 
Mbeya ilikua jiji kwa kigezo cha population tu hakuna chochote. Dodoma imepangiliwa vizuri sana nadhani itakuja kuipita mbeya kwa speed kali sana
Ndoto za mchana hizi! Dodoma iipite Mbeya?
 
Mkuu hotel za hiyo mikoa uliyotaja especially arusha nyingi ni za watu binafsi tena wengi wakiwa ni watz serikali haihusiki ktk uwekezaji wa hotel maeneo hayo
Kulikuwepo 77 Arusha, Mount Meru, Safari Hotel Arusha(hata kama nyingine zimeuzwa).
New Mwanza Hotel-Mwanza, Golden Crest- Mwanza.
Una maswali?
 
Wengine huko i ukweni jamani.......Taratibu basi

slider1.jpg
 
Kulikuwepo 77 Arusha, Mount Meru, Safari Hotel Arusha(hata kama nyingine zimeuzwa).
New Mwanza Hotel-Mwanza, Golden Crest- Mwanza.
Una maswali?
Sipo kwaajili ya kubishana na wewe mkuu ila usipende kuongea vitu usivovijua...
 
Mmmh mimi ninawasiwasi na wewe ulikua unazunguka kutafuta Hotel ya bei ndogo coz umetoka Mbeya Hotel kwenda paradise then kwa GR yaani kutoka bei ya juu kwenda bei ya chini ha ha ha !Mbeya ipo safi sana aisee. Hill view,Mbeya Golden City hotel,Mt.Living stone na zingine nyingi sana mbona mkuu
 
Mmmh mimi ninawasiwasi na wewe ulikua unazunguka kutafuta Hotel ya bei ndogo coz umetoka Mbeya Hotel kwenda paradise then kwa GR yaani kutoka bei ya juu kwenda bei ya chini ha ha ha !Mbeya ipo safi sana aisee. Hill view,Mbeya Golden City hotel,Mt.Living stone na zingine nyingi sana mbona mkuu
Wazo langu kabisa. Iweje asiulize kwa wenyeji hoteli nzuri za Mbeya kabla hajapondea?
 
Nimekupa hiyo mifano hai, pinga au kubali kuwa hoja pingamizi ya kwako haina mashiko.
Mount meru hotel formerly it was owned by the government through Tanzania hotel investment firm kabla ya kuwa privatized 2005...sa sahv haimilikiw na serikali na n mount meru yenye mwonekan mpya sio hyo ya zaman chini ya watu bnafsi na si serikali
 
Back
Top Bottom