Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,007
- 29,244
Kwani lengo la mke kumnyima k mumewe ni nini?Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Anamnyima ili asichepuke??