Recent content by gwabata

  1. gwabata

    Ni vigezo gani kupata nafasi ya kusoma Open University Tanzania.

    Pitia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/ugavi-ni-nini.1132537/ Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  2. gwabata

    Naomba kujuzwa mshahara wa Askari wa Jeshi la Magereza

    Kwani Eura ni mambo ya ndani au unataka kupotisha
  3. gwabata

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hivi Magic Powder inamadhara yoyote kweliii? Manake hii kemikali huwa siielewagi kabisaaa
  4. gwabata

    Jinsi ya kupika tambi

    Daaaa imetuliaaa daaa
  5. gwabata

    Kinamama mjiandae kusachiwa mikoba

    Haya Sasa Naona lile wazo la Naibu waziri aliepiga marufuku kuingia na simu zenye kamera wodini amesahamu kuwaandaa kinamama kupekuliwa mikoba yao pindi waingiapo na kutoka..! Kasahau kutangaza ajira kwa watu watakaowapekua watu wanaoingia na kutoka, tukae chonjo wenyevyeti kugombania nafasi...
  6. gwabata

    WABUNGE WA CCM WAMTISHA MAGUFULI

    Hembu fafanua vizuri
  7. gwabata

    Series (Special thread)

    blindspot nayo daaa itafute na hii
  8. gwabata

    Ni kipi kinachikishinda barabara ya mwendokasi?

    Shida ni kwamba watz hatujielewi, ukiona mpaka mtu anaamua kijisaidia katika barabara au kituo cha mabasi mmmh hata nashindwa nimjudge vip huyo mtu
  9. gwabata

    Ni kipi kinachikishinda barabara ya mwendokasi?

    Makonda atakufa na mabasi ya mwendokasi
  10. gwabata

    Ni kipi kinachikishinda barabara ya mwendokasi?

    Hahahah[emoji23] sasa wanadar-es-salaam mtakiona. Makonda lazima aoneshe kuwa Jiji halijamshinda mbele ya JPM. Kazi ipo
  11. gwabata

    Ni kipi kinachikishinda barabara ya mwendokasi?

    Nadhani jiji la DSM linawananchi wanaojielewa tena sanaa, wenye umakini mkubwa na utashi wa kitosha, tena wenye kufikiria jinsi ya kupambana na umaskini wa kiafrika but how comes tunashindwa kuelewa barabara za mabasi ya mwendokasi itumiwe na akina nani? Au hatujui ni nini maana ya mabasi ya...
  12. gwabata

    Hongera Paul Makonda kwa kusikia kilio cha shujaa dereva bodaboda

    Sijui labda kama watakuwa wamemuwekea kivuli ila kama hawakumuwekea kivuli duuuu...! Atakufa kesho huyo kama kunawengine wamebaki
  13. gwabata

    Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Hembu onesha maujuzi...!
  14. gwabata

    Sijui bikra yangu ilitoka vipi? Au sikuzaliwa bikra?

    Tetetete ati imesafiri kwa muda
Back
Top Bottom