Ni kipi kinachikishinda barabara ya mwendokasi?

gwabata

Member
Feb 21, 2016
32
22
Nadhani jiji la DSM linawananchi wanaojielewa tena sanaa, wenye umakini mkubwa na utashi wa kitosha, tena wenye kufikiria jinsi ya kupambana na umaskini wa kiafrika but how comes tunashindwa kuelewa barabara za mabasi ya mwendokasi itumiwe na akina nani?

Au hatujui ni nini maana ya mabasi ya mwendokasi?

Hembu tuache kujitoa ufahamu, tujione nasisi ni watu tunaojiweza kujitawala. Au tuzubiri tena wazunungu waje kutucivilise? ??

Isee katika serikali hii hakuna kitu kinachoshindikana JPM hembu askari wamwagwe kwenye barabara hizo for one month, kisha kila anayevunja sheria ni mahabusu bila dhamana na fine kalii tuone kama kunaatakayeshindwa kufwata matumizi ya barabara za mwendokasi
 
Shida ni kwamba watz hatujielewi, ukiona mpaka mtu anaamua kijisaidia katika barabara au kituo cha mabasi mmmh hata nashindwa nimjudge vip huyo mtu
 
Back
Top Bottom