Recent content by gustavoo

  1. gustavoo

    Uwezekano wa kulipa Trilioni 4 za Acacia versus Trilioni 400 za TRA

    Nice mkuu atleast umefikiria outside the box Sent using Jamii Forums mobile app
  2. gustavoo

    NASHINDWA KUELEWA UZALENDO WA HAWA WATU

    Naelewa mkuu nimeandika hii posti nikiwa so emotional nikweli viongozi wetu ndo waliotuweka hapa je nisawa tuendelee kufurahia au tuwasusie na tuendelee na hii mentality?
  3. gustavoo

    Msaada: Mtaalamu wa madini, haya ni madini gani?

    Aise mmenifungua akili kidogo zamani nikisikia mfanyabiashara wa madini najua basi pesa ipo kumbe kuna madini tani zima elfu 80 chaaa basi tena
  4. gustavoo

    NASHINDWA KUELEWA UZALENDO WA HAWA WATU

    Nashidwa kabisa kuelewa uzaleo wa hawa watu ambao ukiangalia vizuri post zao kama vile wanafurahia unyonyaji uliokuwepo wa madini nchini Kweli tunashindwa hata kwa siku moja tukasimama kama watanzania tukatetea Tanzania hata bila kuweka itikadi or utofautiwetu wa kisiasa or utofauti wowote...
  5. gustavoo

    Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

    Wave ndo ilikuwa inanipa uvivu kusoma balaa
  6. gustavoo

    Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Anyway mimi acha tuu niwe old school ila bado nitaamini urafiki unaweza kuwepo ila sio urafiki wakimazoea sana hakuna mazoea kati ya mwanamke na mwanaume yasiingiliane na mapenzi
  7. gustavoo

    Wadada wanaokimbia ndoa zao na kwenda kuzaa nje, jifunzeni kwenye mgogoro wa Zari na Marehemu mumewe

    "Mimi biblia yangu inasema mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
  8. gustavoo

    Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Nikweli ila hilo pia linatuhusu sisi wanaume. Unakuta mwanaume ameshatembea na wake zawatu kibao tegemea hata ww ukiowa mkeo atagongwa tuu
  9. gustavoo

    Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

    Naomba mniambie ubora wa infinix note 3 maana mimi naitumia nimeapgrade kwenda kwenye android 7.01 naona kila kitu kipo sawa je na miss nini?
  10. gustavoo

    Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

    Duuu mimi nataka kujua mtu aliempaka mafuta na kunpiga picha kama ni mwanaume ameisha
  11. gustavoo

    Where are you my dream husband?

    Subiria malaika
  12. gustavoo

    Nani amempa Mh Lazaro Nyalandu ruhusa ya kutoa taarifa za majeruhi wa ajali ya Arusha?

    Mnamfuatilia mtu mpaka kanisani kwake hilo shirika nilakanisa na yy yupo kwenye hiyo organization kwa muda mrefu so aache kusaidia kisa muda wake wauongozi umepita. Hebu tuweke siasa pemben bana sio kila muda ni siasa
  13. gustavoo

    Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

    Kama hutupendi jua pia humpendi baba yako na ndugu zako wote wakiume
  14. gustavoo

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    Naunga mkono hoja 100%
Back
Top Bottom