Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
23,335
55,127
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.


USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
 
Back
Top Bottom