Msaada: Mtaalamu wa madini, haya ni madini gani?

Msaada: Mtaalamu wa madini, haya ni madini gani?

hayo ya blue ni ruby. hayo mekundu ni rodlite hayo meupe ni haphote na hayo ya kijani hamonite meupe ni chokaa hayo tani moja 5000 na hayo mengine ni phosphorite, kama una mengine na unahitaji msaada zaidi nicheki dm.
 
Aise mmenifungua akili kidogo zamani nikisikia mfanyabiashara wa madini najua basi pesa ipo kumbe kuna madini tani zima elfu 80 chaaa basi tena
 
angalia isije ikawa wewe ndo hujui this is gem(game) stone.

madini hayana mjanja
Hii ni Niagara yangu mwaka wa ishirini sasa ndio inayonipa hela na nimesomea geology, terminology na gemcutting so usinipime mimi sio mwenzako kwenye hii industry naijua kuliko sala
 
Ni madini ndio hayo,kuna watu wamejarib kuya name,ni kwel,.ILA HAYANA THAMANI,..HUUZI HATA MOJA HAPO,..HIZO NI CAPTION ZA KUFA MTU,..YAAN NI QUALITY YA CHINI SANA,..kwa mfano hiyp feldspar inauzwa kwa tani,tani moja ni elf 80 mi namuuzia mchina Goodwill mkuranga..so hiko kipande hapo hata mia haiifiki,..hayo mengne hayana ubora pia size ni ndogo na shape si mzur.
Mkuu Felspur inapatikana maeneo gani Tanzani?
 
Back
Top Bottom