mkuu inorganic ukikosea principles zake lazima uone ngumu lkn ukifuata principles ni rahisi kuliko organic chemistry..Physics hamna shida tatizo kubwa lilikuwa kwenye inorganic chemistry nilipata tabu sana
mkuu inorganic ukikosea principles zake lazima uone ngumu lkn ukifuata principles ni rahisi kuliko organic chemistry..Physics hamna shida tatizo kubwa lilikuwa kwenye inorganic chemistry nilipata tabu sana
Mkuu sisi tulisoma miaka ya tisini tisini kulikuwa hakuna Cha photocopy Wala Cha nini tulikuwa na tuition mbili za kemia hapa Dar usipokwenda kwa Mkandawile unaenda Sinza kwa mama Shija yaani ilikuwa tabu sanamkuu inorganic ukikosea principles zake lazima uone ngumu lkn ukifuata principles ni rahisi kuliko organic chemistry..
Yaani hapa ndo nilianza kuvurugwa kichwa nkahisi nmekosea combinationProjectile motion ilikuwa rahisi Ila maswali take sasa
sawa mkuu, lkn msingi mkuu wa inorganic ilikua general chemistry,,Mkuu sisi tulisoma miaka ya tisini tisini kulikuwa hakuna Cha photocopy Wala Cha nini tulikuwa na tuition mbili za kemia hapa Dar usipokwenda kwa Mkandawile unaenda Sinza kwa mama Shija yaani ilikuwa tabu sana
Hata form one wanasoma in physicsKinetics theory of gases mbona ni chemia mkuu
Hamna topic iliyonisumbua hapo.Wakuu wale waliosoma physics advance taja subtopics 2 za MECHANICS ambazo zilikuwa zinakusumbua sana .
Hujasoma Physics weweKinetics theory of gases mbona ni chemia mkuu
Unasoma kozi gani?Mimi hakuna topics ngumu huko katika mechanics ila chuo kuna topic ya hesabu inaitwa "Sympathetic topology" hii ni nouma