Uwezekano wa kulipa Trilioni 4 za Acacia versus Trilioni 400 za TRA

Hii ni dalili mbaya sana kwa nchi yetu. Kwa nini lakini tunateseka hivi?

Kwa nini MUNGU ameruhusu haya yatukute.

Tazama biashara zinakufa. Kodi kila mahali .

Hakuna nyongeza ya mshahara sasa miaka miwili.

Sina raha kabisa, sijui nyinyi wenzangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali ya kipumbavu yanafaa kuulizwa na wapumbavu na malofa, kama wapinzani walipinga mbona hawakupeleka mahakamani ? Mbona hata wewe hukuwahi kushitaki leo unajishebedua kupost jf ? Huo ni umbea tu, lakini siyo kosa lako ni Hiyo mimba ndiyo inakusumbua, miezi ikiisha utabadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
....Kama hoja ni kwenda mahakamani mbona issue ya Escrow ilipekekwa bungeni na hakuna kilichofanyika? Tena mahakama ikataka kuzuia mjadala bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 24.3.2017 katika hotel ya Golden Tulip alikutana Na wakandarasi waliokuwa wakifanya kazi katika kampuni iliyosimamishwa kwa kukosa weledi katika kazi,
Miongoni mwa wahandisi aliokutana nao ni wafuatao

1. Allan Watt
2. Andries Liebenberg
3.Mark Roper
4. Rab Bell,

Wakati lissu akiwa yeye, karani Na katibu wake Na wapambe wawili,
Katika wapambe wake kuna ambaye wamewezesha upatikanaji wa siri hii,

KILICHOZUNGUMZWA

Lissu aliwashawishi kumpatia nyaraka na mrejesho wa kesi waliyofungu hapo awali. Wakasema walishashtaki ila mashtaka yanaonekana kutokwenda vizuri kwakuwa watashindwa jinsi ya kuibana serikali ya Tanzania.

Na vikwazo ambavyo wanakumbana navyo ni kushindwa kujua mali halisi za Tanzania nje ya nchi maana ndo njia pekee ya kuwabana Tanzania,

Lissu akawaahidi kuwasaidia na mchakato ukaanza,

Mara kadhaa hupeleka machapisho kwa karani(jina nimeifadhi kwa usalama wake)
Karani huyo ambaye Alikuwa anachapa kazi kwa kusimamiwa Na bwana STEVEN, ili asivujishe siri yeyote ile.

Machapisho hayo yamejaa siri nyingi na nzito za mipango ya Lissu juu ya serikali,
na nyingine ni dhidi ya baadhi ya wafanyakazi wa serikali.

Uchapaji ukimalizika mtaalamu wa IT huyo uhakikisha baada ya kuprint, ujumbe unafutwa kabisa kwenye computer au kama ni kuhamishia kwa flash anahakikisha hakuna kilichobaki, dada anaeleza.

Katika machapisho ya siri hayo ambayo siri imevuja
Yanaonesha Lissu akiwapa maelekezo ni wapi wataonana na uongozi wa kampuni inayo assemble ndege uko Canada,

Na mbaya zaid anawapa ushauri kisheria wa kuikamata ndege hiyo,

Hakuweza kufanikiwa mpango kwa wakati, akamuhusisha kijana wa Kigamboni Mr Paul , ambaye ana uhusiano wa karibu na Mr Zitto Kabwe, maana Zitto ndiyo alijua mpango mzima wa waratibu wa utengenezaji ndege hizo, kutokana na ukaribu alionao Zitto Kabwe na baadhi ha viongozi serikalini.

Kabwe alikuwa Nairobi tarehe 15.4.2017 kutokana na taarifa hizo, Mr lissu alibidi kusubiria ili Zitto akirudi wafanye mpango kwa pamoja.

Baada ya Zitto kurejea kijana Paul alimweleza mambo hayo mheshimiwa, Zitto hakusita kumtafta bwana Lissu na kumpa maelekezo yote ama kwa kujua au kutokujua kama ana nia njema.

Miongoni mwa mambo ambayo Zitto alitoa ushirikiano ni pamoja na kuwezesha upatikanaji wa mawasiliano ya uongozi wa kampuni inayotengeneza ndege aina ya bombardier Q400, na kuwezesha kumkutanisha Tundu Lissu na uwakilishi wao.

Tarehe 4.5.2017 walipokea ujumbe kutoka Canada ambao uliingia nchini kama watalii wakipitia KIA.
Wageni hao ni

1.Douglas Kell
2.Brian Frost
3Rab Bell

Walikutana na mheshimiwa Lissu , na wageni hao ni pamoja na wanaodai kuidai serikali ya Tanzania, Lissu na karibu wake wakenda mpaka walipo Na kuwapa maelezo yote.

Kuanzia mali tunazomiliki nje ya nchi, lakini possible solution ilikuwa kukamata ndege iliyo Canada.
Wakapewa ramani yote,

Tarehe 15.8.2017 waliweza kuikamata ndege kwa kutumia ma agent wa ukamataji wa wadeni sugu wa kimataifa iitwayo
ODR(OPTIMUM DEBT RECOVERY) ambayo iko Edmonton Alberta Canada,

Baada ya tukio ilo wakaijulisha serikali Na wakamjulisha bwana Tundu lissu kuwa deal done, Lissu hakuchelewa akamtaarifu Zitto Kabwe.

Kabwe hakuchelewa akaenda kumuuliza Mbarawa kupitia ukurasa wa Twitter kuwa mbona ndege inachelewa??
Kumbe anajua mchezo wote

Baada ya kukamilisha ishu hiyo lissu amegeukia ACCACIA , Hakuna hasiyejua Lissu amekuwa akisaka mawasiliano na kuhangaika kuwapigia simu ACCACIA na kuwashinikiza wasisubiri mazungumzo ila waende mahakamani kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kuwaingiza hasara.

Ameshafanya vikao zaidi ya sita na mwanasheria na wawakilishi wa ACCACIA, vielelezo vipo na wanapokutana, simu wanazopigiana zipo recorded.

SAWA WENDA SERIKALI YA TANZANIA INAKOSEA LAKINI UNACHOFANYA BWANA LISSU NI USALITI KWA TAIFA LAKO.

NA TUJIULIZE LISSU ANATAFUTA NINI.
Tatizo kubwa ni kwamba mwanasiasa siku zote hutumia fursa kutafuta nguvu katika jamii. Hivyo hawachunguzi fursa wanazotumia zinaathiri vipi jamii.
Kwa kumalizia tu niseme matumizi mabaya ya democrasia yatatupeleka pabaya kama hatutakua makini..!!
By MzawaTz
Tanzania kwanza siasa baadae...!!
Lisu Ni SHETANI
Mkuu unavyotukana utadhani ndio tutasamehewa madeni. Acheni kuhujumu Uchumi wa Nchi kwa kumkumbatia mkurupukaji. Mnatutukana huku nchi ikiendelea kuliwa. Juzi tu Mpwa wake amejilipa Honoraria ya laki nne Kwa siku Kwa siku 48.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona kuna mtu kajilipa kwanini usimpeleke mahakamani? Kwanini muhongwe na Wazungu halafu muanze kusaliti Taifa? Kwanini hamuongelei Ufusadi wa Lowasa? Chama ni mafisadi, Hatutawasikiliza kwa lolote na hatutawaamini kwa lolote. Nyinyi mnaroho za Kishetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaona kaonewa ,Nenda Mahakamani.

Ni dhahili hata wewe mleta uzi huu, umejipambanua kuwa wewe ni Chadema nakwamba unachuki binafsi na Serikali na pia wewe unaonanesha wazi kushabikia ACCACIA badala ya kushauri jinsi gani Tanzania ifanye ili kulipwa gharama inayotokana na wizi uliofanywa na hao wawekezaji matapeli ambao walitumia madhaifu ya sheria dhalimu ambazo wewe unazipigia upatu kama hizi za MIGA. Halafu wewe unajidai kuzishambulia na kuzikosoa Kamati zilizoundwa na Rais , kitendo cha aibu kabisa tena nikitendo kinachoweza kufanywa na Shetani peke yake. Ni vigumu na huenda haiwezekani mtu mwenye hofu ya Mungu anaweza kuthubutu kudharau kamati ambazo zinawasomi waliobobea kuliko wewe na Lisu wako ambao wote hata theruthi hamuwafikii hawa nguli wa sheria na jiorojia. Ni aibu watu kama wewe badala ya kumshughulikia Lowasa ambaye Chadema mlifai kuwa mnaushahidi wakutosha kuthibitisha pasipo shaka kwamba Lowasa ni fisadi. Sasa leo habari ya makinikia ambayo hata hamkujua Rais kaiibua sakata hili halafu nyinyi ma chadema mnaanza kuchonga midomo eti Tanzanua itashitakiwa. Kama wewe ni mwanasherua unaogopaje kushitakiwa ? Kweli Shetani akienda msikutini au kanusani hubaki kuwa shetani. Chadema ni.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Izo sheria dhifu alipitisha nini kama sio ccm kwakusema ndioooooooo bungeni acha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanukuuu.

"Yani mali za kwangu
Ulinzi nakupatia
Harafu ukanishitaki? (Ongeza maneno ya kisukuma hapa) "

By the way anaejiita mzee mwanakujiji ambaye kashikilia hoja kuwa wapinzani ni wazee wa kuhamisha magoli mbona kimya sana tangu kuzuiwa ndege n. K?
Ukaskazini huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu Ni SHETANI

Kama unaona kuna mtu kajilipa kwanini usimpeleke mahakamani? Kwanini muhongwe na Wazungu halafu muanze kusaliti Taifa? Kwanini hamuongelei Ufusadi wa Lowasa? Chama ni mafisadi, Hatutawasikiliza kwa lolote na hatutawaamini kwa lolote. Nyinyi mnaroho za Kishetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona hili la Bombadier mnahangaika sana, si mlete Kiburi sasa Wanaume wauze ndege? Endeleeni kuwanufaisha Wazungu kwa maamuzi yasiyozingatia sheria Kwa kukurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama unaona kaonewa ,Nenda Mahakamani.

Ni dhahili hata wewe mleta uzi huu, umejipambanua kuwa wewe ni Chadema nakwamba unachuki binafsi na Serikali na pia wewe unaonanesha wazi kushabikia ACCACIA badala ya kushauri jinsi gani Tanzania ifanye ili kulipwa gharama inayotokana na wizi uliofanywa na hao wawekezaji matapeli ambao walitumia madhaifu ya sheria dhalimu ambazo wewe unazipigia upatu kama hizi za MIGA. Halafu wewe unajidai kuzishambulia na kuzikosoa Kamati zilizoundwa na Rais , kitendo cha aibu kabisa tena nikitendo kinachoweza kufanywa na Shetani peke yake. Ni vigumu na huenda haiwezekani mtu mwenye hofu ya Mungu anaweza kuthubutu kudharau kamati ambazo zinawasomi waliobobea kuliko wewe na Lisu wako ambao wote hata theruthi hamuwafikii hawa nguli wa sheria na jiorojia. Ni aibu watu kama wewe badala ya kumshughulikia Lowasa ambaye Chadema mlifai kuwa mnaushahidi wakutosha kuthibitisha pasipo shaka kwamba Lowasa ni fisadi. Sasa leo habari ya makinikia ambayo hata hamkujua Rais kaiibua sakata hili halafu nyinyi ma chadema mnaanza kuchonga midomo eti Tanzanua itashitakiwa. Kama wewe ni mwanasherua unaogopaje kushitakiwa ? Kweli Shetani akienda msikutini au kanusani hubaki kuwa shetani. Chadema ni.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu wataalamu wetu wa sheria walikubalije kuingia mikataba ya kishenzi kama walijua sheria za MIGA ni za kipendeleo?

Au unatafuta defensive mechanism
 
Kama unaona kaonewa ,Nenda Mahakamani.

Ni dhahili hata wewe mleta uzi huu, umejipambanua kuwa wewe ni Chadema nakwamba unachuki binafsi na Serikali na pia wewe unaonanesha wazi kushabikia ACCACIA badala ya kushauri jinsi gani Tanzania ifanye ili kulipwa gharama inayotokana na wizi uliofanywa na hao wawekezaji matapeli ambao walitumia madhaifu ya sheria dhalimu ambazo wewe unazipigia upatu kama hizi za MIGA. Halafu wewe unajidai kuzishambulia na kuzikosoa Kamati zilizoundwa na Rais , kitendo cha aibu kabisa tena nikitendo kinachoweza kufanywa na Shetani peke yake. Ni vigumu na huenda haiwezekani mtu mwenye hofu ya Mungu anaweza kuthubutu kudharau kamati ambazo zinawasomi waliobobea kuliko wewe na Lisu wako ambao wote hata theruthi hamuwafikii hawa nguli wa sheria na jiorojia. Ni aibu watu kama wewe badala ya kumshughulikia Lowasa ambaye Chadema mlifai kuwa mnaushahidi wakutosha kuthibitisha pasipo shaka kwamba Lowasa ni fisadi. Sasa leo habari ya makinikia ambayo hata hamkujua Rais kaiibua sakata hili halafu nyinyi ma chadema mnaanza kuchonga midomo eti Tanzanua itashitakiwa. Kama wewe ni mwanasherua unaogopaje kushitakiwa ? Kweli Shetani akienda msikutini au kanusani hubaki kuwa shetani. Chadema ni.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmemuona mpuuzi huyu....
Uchadema unakujaje...au mtu ukihoji tu kutaka kufikiri nje ya box bas wewe ni adui...
Acheni siasa za kizamani bwana hiii nchi ni ya ote
 
Kama unaona kaonewa ,Nenda Mahakamani.

Ni dhahili hata wewe mleta uzi huu, umejipambanua kuwa wewe ni Chadema nakwamba unachuki binafsi na Serikali na pia wewe unaonanesha wazi kushabikia ACCACIA badala ya kushauri jinsi gani Tanzania ifanye ili kulipwa gharama inayotokana na wizi uliofanywa na hao wawekezaji matapeli ambao walitumia madhaifu ya sheria dhalimu ambazo wewe unazipigia upatu kama hizi za MIGA. Halafu wewe unajidai kuzishambulia na kuzikosoa Kamati zilizoundwa na Rais , kitendo cha aibu kabisa tena nikitendo kinachoweza kufanywa na Shetani peke yake. Ni vigumu na huenda haiwezekani mtu mwenye hofu ya Mungu anaweza kuthubutu kudharau kamati ambazo zinawasomi waliobobea kuliko wewe na Lisu wako ambao wote hata theruthi hamuwafikii hawa nguli wa sheria na jiorojia. Ni aibu watu kama wewe badala ya kumshughulikia Lowasa ambaye Chadema mlifai kuwa mnaushahidi wakutosha kuthibitisha pasipo shaka kwamba Lowasa ni fisadi. Sasa leo habari ya makinikia ambayo hata hamkujua Rais kaiibua sakata hili halafu nyinyi ma chadema mnaanza kuchonga midomo eti Tanzanua itashitakiwa. Kama wewe ni mwanasherua unaogopaje kushitakiwa ? Kweli Shetani akienda msikutini au kanusani hubaki kuwa shetani. Chadema ni.......

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mtoa maada ametoa mawazo yake na kutupa uwanja wa kujadili hoja, tukiwa kama magreat thinker ni vyema kujikita kwenye maada kwani kama yeye kashindwa kushauri hata wewe unaweza kushauri kuliko kutoka nje ya maada..

Kwa mtazamo wangu, hili suala limekaa kimafia na wenzetu wanaendalo kimafia huku wakiiaminisha dunia wanafuata taratibu, mfano huku barrick akiwa kwenye majadiriano tayari kule ACACIA wameshafungua charge ya kutudai..hizi ni dalili za umafia kwa kutuzuga na Barrick kama pazia na upande mwingine ACACIA anaendelea na harakati za chini kwa chini ili kuokoa hasara upande wao.

Nini tufanye ili nasi tuokoa hasara upande wetu?
Ni wakati wa taasisi za usalama kuandaa mikakati ya kimafia ili kuzuia hasara upande wetu pia. Mgodi wa North mara kwa miaka mingi umelalamikiwa na wananchi kuchafua mazingira, kukalia maeneo bila fidia, hapa watu wa usalama wanaweza kuchochea maandamo kimafia bila kufanya uharibifu na picha za maandamano zikasambaa kimataifa, buzwagi na bulyanhulu ifanyike hiyo pia na wananchi wadai fidia kubwa kufidia athari hizo, pia kupitia miji mikubwa maandamo makubwa yafanyike chini ya usalama ila wananchi wakiclaim unyonyaji wa Barrick na kuilazimisha ifunge migodi yake, wakati haya yanafanyika mitandao na vyombo vya nje vitarusha ulaya na Marekani na kupelekea kuamsha hisia ambazo Barrick hawatopenda kuona jina lao linaharibika ulaya na lazima waje wakae na Serikali ya Tanzania kuona namna ya kumaliza hiyo migogoro, hapo ndipo tutakapo maliza deal in win win..
 
Nice mkuu atleast umefikiria outside the box

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kiumbe anajiita makusudically hajitambui na hatokuja kujitambua milele! Issue iliyopo mezani yeye kaigeuza kuwa ya EL na CDM. Au ndio ule upumbavu aliousema mwenyekiti wao unatamalaki?
Ni kweli kabisa kuwa amewajaza wapumbavu serikalini na chamani kwake. Hawamsaidii na wamemsusia badala ya kumshauri hata kama hatoufanyia kazi ushauri wako but atakuwa amekusikiliza na mwangwi wa sauti yako ipo siku utamrudia na kuutafakari na kuchukua hatua.
Suala la EL na CDM hapa sio mahali pake. Nini wenye platform ya kumfikia mwambieni ukweli juu ya masuala ya kisheria na uchumi ili kumsaidia.
Kumchunia na au kufanya kazi kiuoga ni upumbavu na bora aliwaambia ili mzinduke.
Najua wengi mnajipendekeza kwake ili mle na kushiba wenyewe huku lawama zikibaki kwake! Au huu ndio uzalendo wa kiccm? Upinzani mnaoulaumu na kujitahidi kuutenga na kuufungia kwenye kichupa ndio wenye hoja funguzi kwa haya yanayotokea leo. Laiti mngeliacha bunge na mahakama kuwa huru, tusingekosa njia thabiti ya kukabiliana na ujinga huu wa Acacia na barrick yenu mlioenda kuifukua na kutuletea kwa malipo ya bei ya ndimu!
Wapo wasioogopa kama kina Lissu na wengineo ambao mawazo yao yangewapa mwangaza wa nini kifanyike na kuwaita mashetani ilihali mkijua kuwa mnamkufuru Mungu ni aina ya upumbavu usiopimika!
Wewe umeambiwa na nani kuwa u malaika?
Mnaiharibu nchi kama yule mwanamke mpumbavu aliyeivunja nyumba yake mwenyewe! Au mna ajenda kama zile za Mugabe zikizoshindwa?
Nawashauri mfuate sheria na mpinge kwa kutumia sheria.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maswali ya kipumbavu yanafaa kuulizwa na wapumbavu na malofa, kama wapinzani walipinga mbona hawakupeleka mahakamani ? Mbona hata wewe hukuwahi kushitaki leo unajishebedua kupost jf ? Huo ni umbea tu, lakini siyo kosa lako ni Hiyo mimba ndiyo inakusumbua, miezi ikiisha utabadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mtoa mada ana mimba mkuu? Na tafiti zinasema wenye mimba wengi wanakuwa na hasira na chuki.

Nimekusoma na nakubaliana na wewe 100% mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASICALLY, DENI LA TRILION 4 LITAKUWA NA NGUVU KWA SABABU LINA NGUVU YA MAHAKAMA (AMBAYO NDYO HUTAFSIRI SHERIA)

TRILION 400 HZ MKUU LABDA KAMA ZA ZIMBAMBWE
Bora tupate hasara za kulipa madeni ambayo ayatofika ata 10 trillion ili tuwe na sheria nzuri maana hatutopenda kurudia matatizo.

Binafsi nipo bega kwa bega mheshimiwa rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom