Recent content by gustavolu

  1. gustavolu

    Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    hahahahahah ukiitizama vizuri body language yake namna alivyokuwa anaongea kwanza alionekana ni mtu ana hofu ya kitu fulani kibaya kinaweza kutokea wakati wowote kwa uzembe wa siasa chafu dhidi ya bandari ambazo chama chake ilianzisha wakidhani itawasaidia au kuwanufaisha mambo nyeti kama ya...
  2. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ingia google download kitu kinaitwa "PDFTOOL KIT" af insall kwenye PC unakuwa unacombije pdf files kwa idadi unayotaka ww inakuwa document moja
  3. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    naona tunaenda pamoja my point hata darasan huwez elewa yote kwa siku moja kila kitu kinahitaji muda pia ndio nkatolea mfano mtu upo mazingira ya kazi boss wako amekupatia kazi labda mfano tengeneza average ya data fulani kwa excel kitendo cha kuingia you tube na ukaisolve case ukakabidhi kazi...
  4. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    acha kupotosha watu microsoft office sio kitu cha kumtishia mtu mwenye degree acha ushamba wewe hahahahahhah. ni kitu cha sekunde tu mtu kutatua anachotaka mfano mtu ana taka kufanya summation kwenye excel kama hajui akiingia youtube akauliza tu inakuja clip ya dk 1 inamuonesha anatembea tayari...
  5. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    punguza pixel za picha af upload tena
  6. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    unazngua me nmetoa comment kwa hisia na furaha japo sikujui kumbe una tufanyia mzaha
  7. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hongera sana hahahahah aseee umekwepo unatetea kilio chako sana hatimaye umenyanyuliwa hahahaha
  8. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    nafikiri ni hicho hicho kizazi ndio kinatoa lawama sasa hivi pengine mwanzoni hicho kizazi wengi wao kipindi hicho kilikua bado hakijaingia oral sasa nahisi majority ya hicho kizazi sasa hivi kinasubiria placement kwaio ndo mana kinaendelea kuwa aggressive hadi kupeleka hizi habari kwa mange...
  9. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ahhahahah mkaguzi hatafuti kosa yeye anaangalia specification inasemaje na ww umetekelezaje ukiwa kinyume na specification we jiandae kutiwa kamban na auditor wa aina yoyote yule 😃😃😃😃😃😃
  10. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😀😀😀 jaribu bahati yako lkn u never know kwan hiyo uloomba ww inahitaji experience miaka mingapi?
  11. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    yeaah hawakugomei kubapply ila mwishoni kwenye kuita watu kwwnye usaili utapata haki yako, mm nliombaga nafasi kama hiyo ilikubali lkn kwenye shortlist waka niandikie NOT SHORTLISTED sababu wakasema sikuwa na experience ya miaka waliyo specify wao kwenye tangazo
  12. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali. Kama hiyo option ipo kwa anae jua anielekeze nimblock chap nisiwe naona anachopost hapa.
  13. gustavolu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini
Back
Top Bottom