gustavolu
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 199
- 391
😀😀😀 jaribu bahati yako lkn u never knowBasi wacha nisihangaike kuisomea
kwan hiyo uloomba ww inahitaji experience miaka mingapi?
😀😀😀 jaribu bahati yako lkn u never knowBasi wacha nisihangaike kuisomea
3[emoji3][emoji3][emoji3] jaribu bahati yako lkn u never know
kwan hiyo uloomba ww inahitaji experience miaka mingapi?
Hoja yako ni ukweli 💯Sijui point yako iko wapi, lakini nachojua majina ya TRA yalitoka saa kadhaa baada ya tangazo la Rais..
Hii inakupa picha gani? Je majina yalikuepo ila yalikua yanacheleweshwa kwa makusudi kwa sababu ambazo mimi na wewe hatuzijui? Ama kuna nini?
Wingi wa saili haufanyi kuchelewesha mchakato kwasababu ratiba uwa zinapangwa kuanzia January (kwamba tutaanza na taasisi hii then itafata hii), hapa ndo tunakuja kupima ufanisi wao then tuna conclude kwamba inawezekana PSRS wameshindwa kutumiza majukumu yao
Na nyie mnavyokaa na placement za watu muda mrefu, man matatizo Gani .Ana mental problems.
Kukosa kazi kumemfanya kichwa chake kishindwe kufanya kazi.
Vi Mzee unataka uka wategee boomNauliza ile masijala ya wazi inafungwa saa ngapi?? Au ni 9:30 Alhasri??
Raisi Samia ni msikivu sana na anahuruma sana, atajibu maombi yetu tuseme inshallahRaisi samia afute hu mfumo wa psrs maana wanashindwa kufuata kanuni zao wenyewe.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Ninachofahamu kila kazi ina contract. Au kuna tofaut na hapo?Haya mambo ya kazi za contract magumu sana. Pale Temeke kuna mtendaji wa mtaa kafanya kazi kwa contract miaka 12 anarenew tu. Siku walivyomwambia basi kaondoka na muhuri wa ofisi na bado alikuwa anaendelea kuzunguka maeneo ya nje ya ofisi hataki kukubali
Alikua anamaanisha renewable contract.Ninachofahamu kila kazi ina contract. Au kuna tofaut na hapo?
Ninachofahamu kila kazi ina contract. Au kuna tofaut na hapo?
AnhaAlikua anamaanisha renewable contract.
So hizo za kudumu kwenye kusign zimeandikwaje forever ama[emoji28]Katika utumishi wa umma, kuna ajira za kudumu na malipo ya pensheni, ajira za mkataba na ajira za muda maalum.
So hizo za kudumu kwenye kusign zimeandikwaje forever ama[emoji28]
Mbona hii tweet hamjairetweet ili iwafikie wausika, au watu humu hamutumii Twitter?
Permanent and pensionable contractSo hizo za kudumu kwenye kusign zimeandikwaje forever ama[emoji28]
Ipi?
Hiyo balaa, na wananchi unakuta hawajui kua mwamba kazi imeishaHaya mambo ya kazi za contract magumu sana. Pale Temeke kuna mtendaji wa mtaa kafanya kazi kwa contract miaka 12 anarenew tu. Siku walivyomwambia basi kaondoka na muhuri wa ofisi na bado alikuwa anaendelea kuzunguka maeneo ya nje ya ofisi hataki kukubali