yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Si ndiyoVijana wana hoja wasikilizwe
Si ndiyoVijana wana hoja wasikilizwe
Sijui point yako iko wapi, lakini nachojua majina ya TRA yalitoka saa kadhaa baada ya tangazo la Rais..Naomba tuzungumzie kipengele cha takwimu pekee, kulingana na comment yako hii.
Ebu linganishe idadi ya sahili za mwaka 2021 kurudi nyuma na sahili za mwaka 2022.
Mf, Mwaka 2021 mwezi January sahili zilikuwa kadhaa
na Mwaka 2022 mwezi January sahili zilikuwa kadhaa.
Baada ya hapo tufanye analysis ya workload.
Assumption: Factors zingine tuziweke constant kama vile idadi ya Watumishi na mfumo wa uendeshaji sahili.
Piga retweet hapa mpaka imfikie acheni kulia machozi ndani ya maji.Rais alihoji kwanini utumishi wanatumia mda mrefu kutoa placement na kibali walichapewa, kama sio rushwa ni nini alafu kuna mtu anakuja kutetea utumishi jamani kama hawana madudu rais asingesema
Piga retweet hapa mpaka imfikie acheni kulia machozi ndani ya maji
Hii nzuriPiga retweet hapa mpaka imfikie acheni kulia machozi ndani ya maji
Blessed kaka![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaka ukipata placement unakuwa kila saa unaiangalia ile pdf, mpk unahisi wamekosea,... au unaenda kwenye web unaidownload tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kiufupi unajifeel a human being, utafikia tu ni suala la muda tu siku yako inakuja...
good idea.Piga retweet hapa mpaka imfikie acheni kulia machozi ndani ya maji
AmenMungu akufungue kila mlango uliofungwa kwa wasaka asali wa hapa katika kipindi hiki cha mfungo wakakumbukwe wote waliopo database na wanaongojea placement kitokana na oral wawemo inshallah
😄😄😄😄😄😄 nitakuiga kakaNa hapo ndo utaanza kuamini kuwa utumishi wanatenda haki bila upendeleo na hata kama pdf ina nusu page niamn mm hizo page utaona ni nyingii..
Mm siku nikipata asali then hyo ile page ya jina langu nta i print then ntaifanyiwa lamination kabisa
yeaah hawakugomei kubapply ila mwishoni kwenye kuita watu kwwnye usaili utapata haki yako, mm nliombaga nafasi kama hiyo ilikubali lkn kwenye shortlist waka niandikie NOT SHORTLISTED sababu wakasema sikuwa na experience ya miaka waliyo specify wao kwenye tangazoSa mbona system inakubali
Tuma pdf jamaa angu tuangaliePolisi wamechukuliwa watu 2,671. Duh! Mitano tena kwa MAMA
Mbona Hawa wewe unaye , Sema hapa JF mnajifanya watoto wa wakulima masikini 😂Wewe jamaa bana utakuwa na mshua wako au anko wapo huko kwenye shirika Fulani. [emoji1787]
BlessedMungu akufungue kila mlango uliofungwa kwa wasaka asali wa hapa katika kipindi hiki cha mfungo wakakumbukwe wote waliopo database na wanaongojea placement kitokana na oral wawemo inshallah
Kam nshaedit cv kuendana na post jeyeaah hawakugomei kubapply ila mwishoni kwenye kuita watu kwwnye usaili utapata haki yako
mm nliombaga nafasi kama hiyo ilikubali lkn kwenye shortlist waka niandikie NOT SHORTLISTED sababu wakasema sikuwa na experience ya miaka waliyo specify wao kwenye tangazo
Alooonlitemwa namna hii mm
Basi wacha nisihangaike kuisomeanlitemwa namna hii mm
Mama Samia ni mpenda haki, anataka haki itendeke kwenye Serikali yake hizo taasisi ulizo zitaja hapo juu usaili unafanywa na wao wenyewe .Ki ufupi Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imemwaga Ajira za Kutosha na Inaendelea kumwaga Ajira.
Angalia matangazo ya Ajira yalivyo mengi..
Angalia JWTZ,Polisi,Takukuru,Wizara ya Afya,Tamisemi na kwingineko Vijana wanalamba Asali....Huyu mama Tungekuwa nae Toka muda mrefu hakika vijana wengi wangekuwa washapungua Mtaani.Ukiuliza miaka ambayo vijana wengi wamepata Ajira basi ni Miaka hii ambayo Mhe.Samia Ndio Rais wetu.
Tuzidi kumuombea mama yetu na Serikali yake anayoingoza.Hakika Matumaini ya Vijana mengi anazidi kuyatatua.
#Kazi iendelee