Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,552
- 5,676
Psrs ni idara chini ya utumishi mfano tuseme bodi ya mikopo iko chini ya wizara ya elimuOkay
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Psrs ni idara chini ya utumishi mfano tuseme bodi ya mikopo iko chini ya wizara ya elimuOkay
Masahihisho kidogoMfano 🙁Tanroad na Tarura )hizi zipo chini ya Wizara uchukuzi na Ujenzi
Lilikuwa limewekwa mwanzo tarehe 6/5/2023 lakini likagundulika lina kasoro fulani fulani wakaliondoa siku hiyo hiyo. Baada ya kurekebisha kasoro hizo ndo wamelirudisha tena hadharani leo tarehe 8/6/2023.kuna tangazo lakuitwa usaili, limeandikwa tarehe 06 afu wameweka leo Tarehe 8
Hawa hawatangazi utumishi?Nadhani nafasi za kwenye majeshi zitamwagwa nyingi sana pia kwa 2023/2024 yaani JWTZ, Polisi, na Magereza.
Naomba hizo namba zaoNiliwapigia simu utumishi siku moja nikawauliza maswali yafuatayo na majibu yao yalikuwa hivi
* swali la kwanza, niliwauliza sifa ya mtu kuwa database ni zipi?
walinijibu atakayefaulu oral interview. hadi ufaulu oral interview ndo uwepo database
*swali la pili nikawauliza, je mtu atajuaje kama yupo database wakati matokeo ya oral interview ni siri yenu ?
walinijibu kulingana na sheria na kanuni zao hawawezi kumuambia mtu yupo database au hayupo wala hawawezi kutoa matokeo ya oral . chamsingi nifatilie placement kama mtu yupo database na vibali vikitoka basi uyo mtu ataona jina lake.
*swali la tatu nikawauliza; kwanini mnatangaza matangazo mapya ya kazi kwa kada flani na wakati hao wataalam mnao database? nikawaambia wapeni kipaumbele wa database kwa sababu walifaulu usaili taari.
walinijibu, sio kila muajiri anahitaji watu kutoka database. wanaangalia na masharti ya muajiri.
kumbe muajiri ndo anamaamuzi.
Basi na mimi nikakata simu . nikasema acha nijipange na saili zingine maana hakuna matumain ya database
chukua namba zao kwenye tovuti yao sehemu ya mawasiliano/contact.Naomba hizo namba zao
namba za malamiko zile zipo kule recruitment portal.Naomba hizo namba zao
punguza pixel za picha af upload tenaMsaada picha imetoka kwenye profile ya ajira portal na inagoma kila nikiweka, shida inaweza kuwa nini wakuu.
ZingatiaPDF next week
Monday 10 %
Tuesday 55%
Wednesday 65%
Thursday 30%
Friday 50 %
Lolote linawezkna mida bdo upooHii siku wadau vp inapita hivhiv
Haijapita hivi hivi maana bado haijapita, mwisho ni saa 6 za usiku! PSRS wana kawaida ya kutupia vitu hata usiku! Lakini haijapita hivi hivi maana wametupia call for interview!! Watu wajiandae kwenda kukandwa!!Hii siku wadau vp inapita hivhiv
Hii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoniKuna jamaa yangu leo kapigiwa simu na afisa utumishi wa halmashauri,akimuuliza mbona haji kuripoti?wakati utumishi bado hawajatoa majina,hii imekaaje wataalamu?
Hongera, kwa ufupi umelamba asali afisa uvuvi.!?Hii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoni
Unaelekea wapi? kituo cha kazi au unaelekea dodoma kuchukua barua yako?Hii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoni
Ila jihadharini yasije kuwa matapeli!! Hiyo scenario imekaa kiutata na ni vizuri kuwa mwangalifu!!Hii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoni
kwa hiyo umeitwa kituoni kabla ya majbu, na umeitwa kama database au ndio sehemu uliyoombaHii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoni
Afisa Mifugo msaidizi,
hii inatokea maana kabla jina halijatoka utumishi,huwa yanatumwa kwanza halmashauri husika,so siku unaenda kuripoti habari zako tayari zinakuwa zimeshafika kabla yako,ndo maana watu wanalalamika kukuta tarehe ya mwezi wa tatu kwenye barua alafu utumishi wakatoaa jina mwazi wa 4,tatizo lipo utumishi