Na saa 24 upo hapa uta purchase na maneno? Hii violence yako ni ghadhabu ya kutokuwa mkekani sasa unahitaji sana counselling ndipo uanze ku purchase.Uncle tulia , Sema Nina mpango waku purchase workstation yenye nguvu Kwa ajili ya vitaasisi kama vyakwenu
Samba Mapangala katika kibao chake cha Dunia tunapia aliweka huu mstari " waongea kujenga ghorofa na HUNA KITU WEE, ACHA KIBURI NA MARINGO....".
Usiku mwema.