Hii ni issue ya kisheria wasaka asali.Nyingi za Halmashauri za nafasi moja moja ni hizi za Watendaji wa Mtaa/Kijiji.
Za kinondoni ni nyingi na za mkataba wa mwaka 1 na watu wanaotafutwa ni wenye Degree zao. Hizi zinaweza kuendeshwa na PSRS na wala si zile watendaji wa Mtaa/Kijiji.
Kwa hiyo nimalizie kuwa, PSRS hawaendeshi sahili za Watendaji wa Mtaa/Kijiji ambapo matangazo yao mengi yanapostiwa pia kwenye Website yao
Vijana wengi wanafanya harakati lakini hawajuii misingi yake. Umeshauri vizuri, N/W kule yupo active, wahusika wapo active, tweet moja tu ingeleta asali kama zile za siku ya valentine kwa vijana.Twitter ndo mtandao unapendwa na Wengi, yan huu Uzi ungekua umepelekwa kule na wachangiaji wakawa Wengi hivi, lazima kuna kitu utumishi wangekua wamefanya kuliko hali ilivyo kwa sasa
Mnataka mtubane mapwalaTwitter ndo mtandao unapendwa na Wengi, yan huu Uzi ungekua umepelekwa kule na wachangiaji wakawa Wengi hivi, lazima kuna kitu utumishi wangekua wamefanya kuliko hali ilivyo kwa sasa
wakiweka status hivo inaamanisha ulifaulu na ulifikisha passmark.
halaf wanasema database haina watu...
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
leta matokeo ya oral sehemu yeyote ile duniani,lengo la kuficha matokeo ya oral ni ili waweke watu wao. ila unakuta mtu kafaulu vzuri ananyimwa placement.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Tuletee taasisi yeyote ile unayoijua duniani ambayo imewahi toa matokeo ya oral interview. Then hakuna mchakato wa ajira ambao utatenda haki 100%. At least utumishi wanajitahid, tunaona walala hoi wakilamba asali kwenye taasisi mbalimbali.hakuna haki huko utumishi. waachie taasisi ziendeshe usaili zenyewe. kuna kitu nilishuhudia binafsi kwenye saili moja hivi ila siwezi sema huku. pia mimi nilikuwa naamini wanatenda haki kumbe amna kitu. tokea siku hiyo nishuhudie vile nilichukia sana psrs.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Ukifanya oral na usichaguliewe inabak hivyo hivyo selected for oralukifanya oral ukafeli inakuwa not selected kwenye app.
kama hukufanya itabaki hivyo
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Kwenye app kuna mabadiliko. Kwenye web ndo itaganda hivoUkifanya oral na usichaguliewe inabak hivyo hivyo selected for oral
Mbn mm kwenye app haijabadilikaKwenye app kuna mabadiliko. Kwenye web ndo itaganda hivo
Kote inabaki hivyo hivyo kwangu mimi ipo hivyoKwenye app kuna mabadiliko. Kwenye web ndo itaganda hivo
Nunua bando la Internet.!Jamn ajira portal app kwangu haifunguki taangia juzi ila kuna jamaa zangu inafunguka fresh tatizo litakuwa nn?
Kapigine rt wapwaTwitter ndo mtandao unapendwa na Wengi, yan huu Uzi ungekua umepelekwa kule na wachangiaji wakawa Wengi hivi, lazima kuna kitu utumishi wangekua wamefanya kuliko hali ilivyo kwa sasa
Ulifanya oral lini?Mbn mm kwenye app haijabadilika
Kapigine rt wapwa
Well said brooAngalau umsaidia kuleta ushahidi maana watu kwa sasa washajiwekea nadharia kuwa kuna faulu zinachezwa na PSRS. Hata kama zipo ila sio kwa kiwango tunachokifikiria.
Naunga mkono.hakuna haki huko utumishi. waachie taasisi ziendeshe usaili zenyewe. kuna kitu nilishuhudia binafsi kwenye saili moja hivi ila siwezi sema huku. pia mimi nilikuwa naamini wanatenda haki kumbe amna kitu. tokea siku hiyo nishuhudie vile nilichukia sana psrs.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
hivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali.We jamaa acha ujinga.Mbona unakuwa msomi mpuuzi hivi.Humu ndani tupo vijana Wasomi ongea vitu vyenye busara basi.
Kaa vizuri na wenzako wakupe mbinu za kufaulu,sio kukaa kuwalalamikia PSRS ilhali unakaa mitandaoni humu unaanza kuandika Upuuzi ambao haukuongezei Chochote,Baadhi ya Vijana wa Kitanzania Shida sana ikiwemo wewe.
Una ujinga mwingi Mzee.Wanaume hatupo hivyo!!!!!
Jamaa miyeyusho sanahivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali
kama hiyo option ipo kwa anae jua anielekeze nimblock chap nisiwe naona anachopost hapa