gustavolu
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 199
- 391
ingia google download kitu kinaitwa "PDFTOOL KIT" af insall kwenye PC unakuwa unacombije pdf files kwa idadi unayotaka ww inakuwa document mojaHow to do that esp using phone?
ingia google download kitu kinaitwa "PDFTOOL KIT" af insall kwenye PC unakuwa unacombije pdf files kwa idadi unayotaka ww inakuwa document mojaHow to do that esp using phone?
Tamisemi hajafanya interview ni landom selection
urasimu usio isha mkuuKuna mtu hapo juu kasema wamefanya interview??kwa makadirio tu najua walioomba ajira za tamisemi ni karibu au zaidi ya laki moja lkn why wametumia miezi miwili tu kupambanua sifa hizo na kupangia watu kazi???mean while utumishi zile ajira za MDA & LGA iliwachukua miezi 7 kuchambua tu majina kupata wenye sifa,haya basi wamemaliza interview waite kazini maana huku sio sifa tena ni ufaulu tu wa juu mpe kazi napo mchakato as naongea leo bado siku kumi na kitu na baadhi tyr miezi minne imepita....kuna shida mahali japo hatusemi ila kuna shida.
Hivi TBC zile interview za mwezi wa kwanza walishaitwa kazini??
Hakuna taasisi inapenda kuchafuka...ngoja Mimi na ndugu yangu mfwende sawadogo tuendelee kunywa mchuzi....PSRS Kwenye usawa na haki wanafanya vizuri sana tu kuweka transparency kwa asilimia nyingi wao shida yao ni michakato isiyoisha ndio inaleta walakini na kuweka mianya ya watu kuwekana.
Tatizo hizo intern zenyewe zinatolewa kwa upendleoo na kujuana so bora mpria uwekwe kati hakuna cha intern wala nani wote wapambanie atakeshinda apewe kazii
Intern si wanatoa TAESA? sisi tuliletewa na TAESA na huko wanafanya usaili kabisa ili kuwa recruited, vijana wakimaliza chuo wapitie agency wakati wabatafuta matobo ya kutokea.
Hilo swali ni moja tu. Moja wametaka Cannon of tax, na lingine hilo wameokuonesha jinsi wafanyabiashara wanavyolamikia kodi isiyolipika. Hivyo unatakiwa kubalance kodi hizo kwa kuzingatia Cannon of tax.mkuu samahani,mm sijasoma tax,ila nina kabachelor kangu ka uchumi, kwani swali no:1 ni sawa na no :2 hapo juu??
coz naona swali namba mbili linahitaji umuhimu wa kulipa kodi while swali namba moja linahitaji how taxes should be mfano zile canons zake nikama convenience,equity,economy,productivity nk
fafanua hapo mkuu labda sijaelewa??
TRA iwafikirie hao vijana walipiga kazi kipindi cha Corona miaka 2 bila malipo, kama taasisi zingine wamewapa vipaumbele waliokuwa wanajitolea, TRA wanakwama wapi?
Kwenye Swala la MDA & LGA, Sekretaireti ya Ajira hawana makosa.Kuna mtu hapo juu kasema wamefanya interview??kwa makadirio tu najua walioomba ajira za tamisemi ni karibu au zaidi ya laki moja lkn why wametumia miezi miwili tu kupambanua sifa hizo na kupangia watu kazi???mean while utumishi zile ajira za MDA & LGA iliwachukua miezi 7 kuchambua tu majina kupata wenye sifa,haya basi wamemaliza interview waite kazini maana huku sio sifa tena ni ufaulu tu wa juu mpe kazi napo mchakato as naongea leo bado siku kumi na kitu na baadhi tyr miezi minne imepita....kuna shida mahali japo hatusemi ila kuna shida.
Hivi TBC zile interview za mwezi wa kwanza walishaitwa kazini??
Hakuna taasisi inapenda kuchafuka...ngoja Mimi na ndugu yangu mfwende sawadogo tuendelee kunywa mchuzi....PSRS Kwenye usawa na haki wanafanya vizuri sana tu kuweka transparency kwa asilimia nyingi wao shida yao ni michakato isiyoisha ndio inaleta walakini na kuweka mianya ya watu kuwekana.
Thanks Mkuu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2647082
Mmh na hapa kuna tatizo kubwa, kwa Mda wote uo mwaka na weeks kadhaa zimeisha izo nafasi inakuwaje kuwaje au kuna watu wamezikaimu na kivip iweje wakaimu kwa Mda wote uo, asee kuna madudu kila mahaliKwenye Swala la MDA & LGA, Sekretaireti ya Ajira hawana makosa.
Mwenye makosa ni Mwajiri, ndie anatakiwa aruhusu Sekretaireti wamalizie hatua ya mwisho ya Placements.
Sekretaireti ya Ajira hawawezi kutoa Placements bila ruhusa ya mwajiri.
Hili Swala lipo kwenye Kanuni, someni muelewe.
If so, then I wonder....Kwenye Swala la MDA & LGA, Sekretaireti ya Ajira hawana makosa.
Mwenye makosa ni Mwajiri, ndie anatakiwa aruhusu Sekretaireti wamalizie hatua ya mwisho ya Placements.
Sekretaireti ya Ajira hawawezi kutoa Placements bila ruhusa ya mwajiri.
Hili Swala lipo kwenye Kanuni, someni muelewe.
Sijajua umesoma ualimu gani,lakini nakumbuka room mate wangu pale mabibo hostel enzi hizo alikua anasoma ualimu,mwaka wa pili walikua na kozi ya ICT.Mkuu, nimesoma BA.Education hapo, na nasoma M.A hapohapo.
Nina uhakika hakuna kozi ya Computer Application.
Kwani wewe ni mgeni hapa bongoland?If so, then I wonder....
How does the government work ?
Mbona huo utaratibu uliousema unaonyesha kwamba mambo yanakwenda "shaghala bagala"
Sio mgeni, ila hatupaswi "kuchekeana chekeana" kwa kushindwa mambo madogo madogo namna hii.Kwani wewe ni mgeni hapa bongoland?
Hapo ni dalili hamna mkeka mpya mpaka sasahawa utumishi wanatuchukuliaje aiseeh
yani mkeka wa may 24,bado haujazima till now ni mwendo wa new alert!!