Recent content by GUSEPE

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Manase R Muhaha kutoka Malapa Inn!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa katikati ya Jiji la Dar es Salaam

    united nation road maji yamejaa barabarani....duh kweli masika!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa katikati ya Jiji la Dar es Salaam

    Wale wabishi wamabondeni-mkwajuni,jangwani,kigogo sambusa andaeni kabisa masufuria ya kutolea maji ndani!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anejua malipo ya korosho Mtwara

    Kama ulivyosikia thats whats up!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Majina maarufu ya Kipare....!

    Kahoko,Mrindoko,Mlacha...
  6. G

    JamiiForums Tanzania tangazo la vodacom lenye vionjo vya kihaya

    na lile la mkongo man je.....mim naitwaga Mududu,mutu pekee naishi kwenye chumba yenye choo ndani!ha ha ha
  7. G

    JamiiForums Tanzania KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

    Raha ya mazishi majembe kupokezana!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Kondoa kaskazini aweka jimbo mfukoni

    Katika wilaya zilizonyuma kimaendeleo nchini ni pamoja kondoa.huyu mama ni useless tatizo ni la warangi wa kuendekeza ukabila na udini...even Nkamia hana anachokifanya.2015 inakuja nadhani mabadiliko yanatakiwa wa mkoa mzima wa Dodoma
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nijuze movie kali.,nikazipakue nina bando za kutosha

    Face-Off.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Correct answer is HANA!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    HanaBBA, hakuhitimu!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga

    Ni ujinga kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi....
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hiki walichonifanyia polisi ni haki?

    PT moja ilinigonga nikala nao sahani moja wakanilipa!may be ulikuwa na makosa...ungemkomalia aliekugonga.fuatilia hilo gari kituo linapopaki report hapohapo
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma Lecturer na Prof Wanafaidi Sanaaa! Kila Mwaka Wanalamba Nyapu Mpyaaaaaaaa!!!!! (UKIMWI NI KIFO!)

    Halafu mlangoni wameandika students are not allowed!kumbe janja yao meeen
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma Lecturer na Prof Wanafaidi Sanaaa! Kila Mwaka Wanalamba Nyapu Mpyaaaaaaaa!!!!! (UKIMWI NI KIFO!)

    Research yako nimeikubali Lara 1!vibinti vya B-COM chu mkononi vinapishana tu kuingiliwa
Back
Top Bottom