Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,085
- 1,082
Kawaida ya mvua za masika huwa hazina fujo kama mvua za mwaka huu, Kinondoni zinanyesha na upepo ni mkali sana. Jumapili mvua za upepo ziliangusha miti mingi sana Chanika Mbuyuni, nyumba nyingi ziliezuliwa mabati na nyumba nyingi ziliangukiwa na miti.