Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,921
- 110,354
Habari ndugu wanabodi,
Napenda tu kuwajuza wale wote wenye nia ya kuja katikati ya Jiji la Dar es Salaam, kuwa kwa sasa huku kuna mvua kubwa inayoambatana na upepo. Hivyo kwa wale wenye safari za huku na ambao hamna usafiri binafsi mzingatie hilo na kuchukua tahadhari.
Ningependa pia uzi huu utumike kujuzana hali za maeneo mengine ya Jiji, ili wadau wengine wapate kujua hali ya mvua kwa maeneo mengine.
Nawasilisha.
=========================
Update leo: 30/04/2013
=========================
Picha kwa Hisani ya Blog ya Jamii

Habari wadau wa jukwaa hili: kumekuwepo na mvua inayoendelea kunyesha jijini hapa tangu majira ya asubuhi na hivyo kupelekea kuwa na adha ya usafiri hasa maeneo ya katikati ya jiji kwa mnaokuja huku baadhi ya barabara zimejaa maji na uwepo wa madimbwi katikati yake hivyo ni vyema ukajichukulia tahadhari mapema.
Picha kwa Hisani ya Blog ya Jamii