Elimu ya Mnyika

Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
Hakuna asiyejua kwamba hakuna uhusiano wa moja kwa moja baina ya kusoma na kuongoza.

Swali, kwanini aliwadanganya wapiga kura wake?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

masikini tanzania! kwani ailyewadanganya wapiga kura ni mnyika au wakina sshonza? kwani ww hukumskia shonza mwenyewe akitamka kuwa yeye ndie aliyezunguka kuwadanganya wapiga kura? hapo mwenye kosa si mnyika ni shonza na wenzake. msibadilishe maneno.
 
mbona mnashangilia ya kafumu kuvuliwa ubunge kwa maneno ya wapambe lakini kwa mnyika ndio mnaona tofauti?

mbona hakukanusha kwamba sio kweli.

unafiki mpaka kwenye mkichwa.

masikini tanzania! kwani ailyewadanganya wapiga kura ni mnyika au wakina sshonza? kwani ww hukumskia shonza mwenyewe akitamka kuwa yeye ndie aliyezunguka kuwadanganya wapiga kura? hapo mwenye kosa si mnyika ni shonza na wenzake. msibadilishe maneno.
 
masikini tanzania! kwani ailyewadanganya wapiga kura ni mnyika au wakina sshonza? kwani ww hukumskia shonza mwenyewe akitamka kuwa yeye ndie aliyezunguka kuwadanganya wapiga kura? hapo mwenye kosa si mnyika ni shonza na wenzake. msibadilishe maneno.

Anapoulizwa swali mtu mwingine halafu wewe ukamjibia, unataka nikuelewe vipi? Au unataka kunitafutia BAN? Unamjibia Mnyika wewe ukiwa kama nani yake?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa mtazamo wangu ninaona kama kulikuwa na ugomvi kati ya Juliana Shonza , Mwambapa na John Mnyika.Hainiingii akilini siku ya kwanza kuingia CCM Shonza alianza kebehi dhidi ya Myika,sielewe labda elimu yangu ni ndogo.
Elimu ya Mnyika na ubunge wake vinaingilianaje?
 
Hapa mkuu umedanganya " form six ana division three, point 15, alikuwa anasoma mlimani BBA kuanzia mwaka 2002, ila sina uhakika kama alimaliza. Pia tambaza kulikuwa na division one 29 tu kati ya 480 waliomaliza mwaka 2001, mnyika alikuwa anasoma EGM, akitokea Maua Seminary, akiwa na div 1 point 7 A-9, alikuja pale baada ya maua kumfanyia faulu ya kutokupeleka form zake wizarani hivyo hakuchaguliwa, kujiunga kidato cha tano, kwasababu maua walitaka arudi kule, ila sasa, ikatokea kuwa mnyika hakuwa anataka kurudi maua, tatizo tambaza ilikuwa ni kama kuku wa kienyeji, naye alitoka mahali ambapo watu wanafugwa kama kuku wa kisasa, ndo akapata div three, kwakuwa wakati ule ilikuwa ngumu kwa mtu aliyepata div 3 kuchaguliwa kuingia chuo then ilbidi asome masomo ya jioni pale UDSM - BBA, ambayo sikufuatilia kama alimaliza au la.
Uwezo wake wa kujenga hoja zenye mashiko bungeni una level zaidi ya PHD, kwa hiyo hata kama hakumaliza chuo anafaa kuongoza, na kwa maono na mtazamo yuko juu ya wale PHD holder ambao wapo bungeni.
 
Kwa mtazamo wangu ninaona kama kulikuwa na ugomvi kati ya Juliana Shonza , Mwambapa na John Mnyika.Hainiingii akilini siku ya kwanza kuingia CCM Shonza alianza kebehi dhidi ya Myika,sielewe labda elimu yangu ni ndogo.
Elimu ya Mnyika na ubunge wake vinaingilianaje?
Inawezekana Mnyika alicheka na nyavu akaingia mitini, juliana alidhani ligi itaendelea forever.
 
Kama huna elimu nzuri utawezaje kuchambua mambo ya bajeti za wizara au utaishia kufoka bungeni tu kuhusu ufisadi.

Prof. Maji Marefu, mbunge wa CCM yeye anatumia elimu gani kuchambua bajeti?? Juju?
 
Kuna elimu na makaratasi tofautisheni kwanza.hata kwa ngono na kuigilizia unaweza graduate.fikirieni,angalieni uwezo wa mtua.hata BILL GATES HAKUGRADUATE na GENIOUS WENGI TU DUNIANI.
 
Kuna elimu na makaratasi tofautisheni kwanza.hata kwa ngono na kuigilizia unaweza graduate.fikirieni,angalieni uwezo wa mtu.hata BILL GATES HAKUGRADUATE na GENIOUS WENGI TU DUNIANI.
 
nafikili alichofanya shonza ni kumpandisha chati mnyika,kwasababu jamaa elimu yake ndogo lakini cheki anavyo chambua hoja kule bungeni.sasa kama angekuwa na hata degree 2 tu unafili ingekuwaje ? Nadhan tumheshim mbunge MNYIKA !
 
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua
sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then
akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA
wakati wakiwa udsm na akina zitto na
mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa
unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP)
ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua
owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi
za kijamii kama UNA, TYVA na pia
muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo
kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka
2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na
umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye
kipaji cha pekee.

kweli unamjua mnyika. jamaa ni kichwa haswa. Kupata point 7 form 4 na point 3 alishanithibitishia uwezo wa kichwa. degree wala sitaki maana hata aliyesoma Saut nae kapata tena 1st class wakat form 4 alpata four
 
Du.....kweli hoja za kujadili zimeisha yani limtu lizima na manywele yake kwenye masaburi anadiriki kujadili upuuzi kama huu? Kuna haja kweli ya kuhadili elimu ya Mnyika na hali uwezo wake tunaujua? Wapi prof.magembe, wapi Dr.Kigwangala?

Hoja za kipimbi kabisa hizi.
 
kwa mujibu wa bunge Mh Mnyika ndiye anayeongoza kwa kutoa hoja za maana bungeni!!!!sasa hao wanaotaka elimu sidhani kama ipo kuna kuelimika zaidi ya huko

Kama Mnyika hanashahada basi ni GENIUS mimi na watu kibao wenye PhD tunalegeza 1200 zetu tu,Dodo Mnyika ni kichwa, Vilaza na magamba yao ya Vyeti hawana msaada wowote hata kwa nyumba kumi zao.
 
Ati leo elimu haina tija ilimradi tu kiongozi bora sio kweli akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa kama ni kweli ilikuwaje hadi adanganye elimu yake, kuna watu kwa kutetea ujinga nahic hata akimkuta chumbani na mkewe haamini atasema alienda kumpa kadi ya chama

Mkuu, hebu ithibitishie JF kwamba mhe. Mnyika alidangaya kuhusu elimu yake.
Inavyoonekana wewe unamjua vizuri mhe. Mnyika.
Hebu tujuze mkuu, uliondoe hili wingu lililotanda JF.
 
Swali lako la kwanza "watanzania wanataka kujua elimu ya mnyika" lilikua relevant sana. But hili la sasa hivi umeiacha uchi akili yako, kuchambua budget wewe umeitizama in a broad term but hata mwananchi aliepo pale nangurukuru, sengerema ama nanyumbu anaweza kuchambua bajeti sema terms za kiuchumi hatazitaja kama zilivyo. Ritz huwa kwenye thread the more you comment the more you become common na ujinga wako unashtukiwa, you are more powerful ukiongea kidogo au ukikaa kimya..nliwahi kukwambia!
Mimi naitaji jibu moja tu Mnyika ana degree hama hana?
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka mwaka 2005 nikiwa first pale mabibo block d mnyika alikuwa napita kuomba kula kwenye room n ni mwaka ambao alikuwa amemaliza chuo so ni graduate wa udsm
 
Kwa mtazamo wangu ninaona kama kulikuwa na ugomvi kati ya Juliana Shonza , Mwambapa na John Mnyika.Hainiingii akilini siku ya kwanza kuingia CCM Shonza alianza kebehi dhidi ya Myika,sielewe labda elimu yangu ni ndogo.
Elimu ya Mnyika na ubunge wake vinaingilianaje?
Mtajutakumfahamu Shonza na Mwampamba.
Wengine tulisema hasira hasara, sasa CDM inaanikwa hata kwa yale tulikuwa hatuyajui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom