Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
swala la shahada awe nayo asiyo nayo aitusaidi lakini kwa uwezo wa mnyika alionao wa uchambuzi wa mambo na jinsi anavyo pambana na mafisadi sisi hyo shahada ya darasani atuna shida nayo tuna shida na uwezo wake na jitihada zake kupambana na ukombozi wa nchi hii.
Je kwa wao ambao wana shahada mbona wamefukuzwa na wanatapa tapa? Waende zao uko awajui pakufia kisiasa
kama shahada ni kila kitu ccm ingekuwa inatisha kwa hoja na kila kitu maana walivyojazana madocta si mchezo, tena ntathubutu kuwaita dr. uchwara maana jina kubwa huku wakiwa tupu akilini ama wakiwa na fikra fupi