Recent content by Guevara Jr

  1. Guevara Jr

    Tafsiri ya 912 kiroho

    Katika wimbo wa Dizasta Vina =SHAHIDI, reporter wanasema meli iliyozama ni T912. Meli ilizama katika kilindi cha bahari ya Hindi. N.B Wimbo uliachiwa April 2022. #HipHop
  2. Guevara Jr

    Je unaamini Binadamu alikuwa Sokwe?

    Early humans were never chimpanzees. They only resembled chimpanzees....Wanahistoria wengi na walimu wa history wengi huwa wanaeleza taarifa pindishi tofauti na kile alichoandika Charles Darwin.
  3. Guevara Jr

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa Stalla Thomas ft Chid benz unaitwa "Nini sina"...Producer Lamar nauomba Tafadhari.
  4. Guevara Jr

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wanajamvi kheri? Nina ugonjwa wa moyo tiba yake ni wimbo wa Stara Thomas ft Chid benz unaitwa "Nini sina " producer Lamar. Natanguliza shukrani za dhati kabisa [emoji120]
  5. Guevara Jr

    Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Toa hela....Jaffarai ft AY Hawatuwezi....N2N Darubini kali....Afande sele Niko busy......Jaffarai Tingisha.....Jay moe n T.I.D Unaweza panga ngoma 100 za P funk alafu ya mwisho kwako ikawa ya kwanza kwa mwingine...True legend of our game.
  6. Guevara Jr

    Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

    Uwezo wako wa history na geography ni mkubwa sana Mkuu
  7. Guevara Jr

    Kwanini katoro(Geita) wanauza bidhaa bei rahisi kupitiliza

    Lami ni hiyo ya high way tu...vipi Mchangani panafikika? Unaijua vizuri mitaa ya bugayambelele na barabara zake? Vipi kilimahewa? Msufini? Mtakuja?....Maji pia bado ni shida, kwa idadi ile ya watu hawatakiwi kutegemea kabahelele tu. Hospitali mpya bado haina huduma muhimu kama madaktari na dawa...
  8. Guevara Jr

    Kwanini katoro(Geita) wanauza bidhaa bei rahisi kupitiliza

    Wengi mizigo wanatoa Uganda na wachache wanaagiza nje directly....Wale jamaa wana hela na ushindani endelevu. Naipenda sana ile sehemu....wakiboreshewa barabara tu na huduma nyinginezo kama stand ya kisasa, maji na huduma nzuri za kiafya, baada ya miaka 20 tutaanza kuilinganisha na miji kama Mwanza
  9. Guevara Jr

    Hizi ndio chorus kali za kuchana (hiphop ) Bongo

    Story tatu ..Jay moe Show time...FA Natubu...Chid benz Twenzetu tusonge...Chid benz & Jay moe Mchizi wangu...N2N Tuko pamoja...Masu-Li Just to mention afew
  10. Guevara Jr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tumpe Tuchel kazi under 18 pale Carrington wazee au mnasemaje?
  11. Guevara Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    You have nailed it bro[emoji120][emoji120][emoji120]
  12. Guevara Jr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii kweli TBT...hapo Giggs anatuaminisha kuwa James ni bonge la winga tumpe muda..WTF
  13. Guevara Jr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nimeitazama tena game ya jana...Aise ile pass ya Bruno Fernandez kwenda kwa Rashid ni ya kiwango cha namna yake. Ile pass ingepigwa karne ya 17 huko, ingetosha kabisa kuzuia biashara ya utumwa...Dah! What a pass!!!?
  14. Guevara Jr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah! hadi Dae gil the slave hunter umekubali!!?.....Thanks Mkuu
  15. Guevara Jr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Gabriel Jesus is every Arsenal fan right now
Back
Top Bottom