Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,955
- 146,231
Brief ni kwamba sitaki imani nataka kujua mambo yaliyohakikiwa kwa misingi ya mantiki yenye uthabiti, logical consistency.Tupe brief Mkuu na uchambuzi wako juu ya Iman yako juu ya Mungu
Mungu gani unamuongelea?
Tukianza na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (kama vile Allah na Jehovah) huyu hayupo ni kabobo za kuungaunga za watu tu.
Ukimpima kimantiki unaona contradictions kama Epicurean Paradox zinazoonesha hayupo ni muhusika katika hadithi ya kutungwa ya watu tu.
Kuna kitabu kakiweka Bufa hapo juu anakisoma kimeelezea vizuri sana haya mambo.