Recent content by goraslaw

  1. G

    JamiiForums Tanzania CRDB Mnatuibia, acheni

    Hii inaitwa standard law ambapo sheria inapoundwa mteja hakuwepo ila inatakiwa uifuate hiyo Sheria japo hukuhusishwa kuitunga! Mfano, nyuma ya tiketi za magari zimeandikwa nyuma kuwa tiketi ikishakatwa fedha hairudishwi kwa namna yeyote
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wanachama 900 NSSF wawasilisha madai feki

    Kati ya hao 900 wapo ambao siyo retired ghost lakini watadhulumika tu kwa utendaji mbovu wa wanao hakiki!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dhahabu kilo 300 iliyokamatwa Mwanza ni yenyewe au Kanyaboya?

    kiki zipo za aina nyingii
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tumefunga ndoa, mimi mkristo yeye muislamu ila simuelewi

    Hakuna ndoa kati ya Mwislamu na Mkiristo,,,Sheria hiyo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tumefunga ndoa, mimi mkristo yeye muislamu ila simuelewi

    kuswali ndo neno halisi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anadukua simu za mawaziri na kusoma meseji zao? Sikia hili

    Mlioko humu hamna hata moja anaejua kitu,,,kuna kitu kinaitwa TIS ambapo simu za watumishi wote zime kuwa connected on it ila watumishi wengi hawajitambui except cc ma It's
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

    kweli hujui inglish mzee baba hiyi peoples imekaaje?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Alikiba kuja na radio yake "king FM"

    kings FM sisi huku njombe tunayo tangia kitambo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufika NACTE ukitokea Mbagala

    panda gari shuka riverside chukua gari za mbezi mwisho shuka mbezi panda gari za magohe shukia kwa matias, chukua boda buku tu mpaka nyumbu utakuta geti waambie naenda kwa nacte
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba ule wimbo wa ccm wataisoma namba
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ajali, Kondoo: Basi la Kampuni ya Sharon Classic lateketea kwa moto maeneo ya Bicha

    Linaungua moto gari moja tu, ila baada ya mwezi ana import gari 10 mpaka 15, mpaka mje mstukie issue ila wachache tunajua!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Baadhi ya escorter wa number 1 wetu ni Rwandies. Pia kuna DAS moja hivi nyanda za juzi kusini ukimona tu bila kupepesa macho utamgundua ni rwandies!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume jamani

    dini yako tafadhali,,,,mahoganies second wife/secondlady
  14. G

    JamiiForums Tanzania BADO NATAFUTA KAZI WAKUU

    nenda chuo tu hiyo cyo Elihu kwa sasa!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

    somalia au syria!
Back
Top Bottom