Msaada jinsi ya kufika NACTE ukitokea Mbagala

Msaada jinsi ya kufika NACTE ukitokea Mbagala

Panda magari ya makumbusho ukifika stendi makumbusho panda magari yanayoelekea Tegeta au tabata mwambie konda akaushushe kituo cha BAMAGA ukishuka hapo vuka barabara fata ofisi za startimes ukifika TBC ujue umefika NACTE
Hili liongo linafikiri Nectar na Nacte ni sawa
 
Mkuu panda magari yanayoishia simu2000 then chukua boda pale waambie unaenda NACTE,buku tu,ungekuwa mwenyeji ungetembea,zipo katikati ya mwenge na ubungo,karibia na mlimani city,utaliona jengo limeandikwa NACTE..
Muongo wewe
 
panda gari shuka riverside chukua gari za mbezi mwisho shuka mbezi panda gari za magohe shukia kwa matias, chukua boda buku tu mpaka nyumbu utakuta geti waambie naenda kwa nacte
 
Kwakuwa wewe ni Mgeni Jijini.

Panda Bus la Simu 2000 ukifika Buguruni au Ubungo panda bus la Makumbusho then shuka ITV. hutohitaji kuvuka Barabara usije kugongwa maana ile Njia ni hatari kwa WAKUJA.
 
Back
Top Bottom