kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Askari kanzu kukamata wadanganyifu wa mafao: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenister Mhagama, amesema kuanzia sasa kwenye ofisi za mifuko ya hifadhi ya jamii, kutakuwa na askari polisi kanzu kukabiliana na wanaoghushi nyaraka ili kujipatia fedha. "katika uhakiki ndio ukabaini wanachama wasiokuwa waaminifu wenye madai, lakini Ukienda ofisini bado yupo kazini, madai haya ni feki kwa sababu hujaa ha kazi"
CHANZO: NIPASHE/ MWANANCHI
CHANZO: NIPASHE/ MWANANCHI