Recent content by Godhelp

  1. Godhelp

    Wastara taabani, anaumwa...

    Mungu Amponye
  2. Godhelp

    Nissan Xtrail: mafuta, spea?

    Nissan ni nzuri, ila spare na Mafundi wanaozijua vizuri ni wachache pia Nissan ni ndoa ya kikristo, ukinunua ni ngumu kuuza
  3. Godhelp

    Madereva tapeli baadhi VS wamiliki magari Uber

    Mkuu tafuta manager, halafu funga kifaa kinaitwa fleet mgt, hicho kinakupa taarifa zote za Gari root alizopiga kwa siku kwa week, mwezi na mwaka, itasoma kilometers, Na muda wowote ukitaka kujua Gari iko wapi? Na IPO speed Gani utajua..... So inakuwa Rahisi Ku monitor, ni hayo mkui
  4. Godhelp

    Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

    Chibu yupo????
  5. Godhelp

    Najifunza Kiingereza, niulize chochote kweny huu uzi wangu nami nitakujibu kwa kiingereza changu kibovu

    Hey i thought your good but am learner too. When did u start 2 learn?,
  6. Godhelp

    Niende chuo gani na kozi ipi nzuri?

    Kasome Local Gvt ina fursa nyingi bado za Ajira
  7. Godhelp

    Picha: Gharama za public toilet zipo juu, Serikali itusaidie

    Hiyo ndogo kuna mtu anapiga hiyo mishe tena ni mkoani , alinambia Anaingiza 80000-100000 je? Kwa pale inakuwaje??? Ni hela ndefu
  8. Godhelp

    Vespa vespa

    Ni pm namba zako mkuu tuyajenge
  9. Godhelp

    Vespa vespa

    Mm nipo Dar....
  10. Godhelp

    Vespa vespa

    Habari wana Jf nahitaji Pikipiki Aina ya vespa za India. Zinakuwa na body ya Bati. Mwenye nayo ani PM tufanye biashara
  11. Godhelp

    Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

    Pole sana.... Pata muda wa kupumzika..... Hilo tatizo unakosa concentration... Huenda ukawa unstress
Back
Top Bottom