Najifunza Kiingereza, niulize chochote kweny huu uzi wangu nami nitakujibu kwa kiingereza changu kibovu

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
2,185
2,000
Baba amekuja kazini amechoka

Father is comming at work while is tired
Llio kwanza kabisa unapotaka kujifunza kitu Usiweke Mipaka utakosa mengi......!!! Pili hicho ulichojibu hapo sicho ulichoulizwa.....!!!! Angalia na tafakari kabla ya kujibu kwa kukurupuka, Kiswahili chenyewe kinakushinda alafu unaweka Masharti hebu soma ulichoulizwa na mkuu Maringeni na Soma alichojibu Mkuu Sky Eclat;

Kiswahili kila linapotokea yafuatayo tunampa mhusika pole. Je kwa kiingereza utamwambiaje mtu katika mazingira haya?
1. Baba amekuja kazini na amechoka.
2. Umeenda kumtembelea mtu aliyefiwa.
3. Umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya

Nk

Daddy you need a rest, you must be tired
2. Accept my condolences
3. I’m sorry, I didn’t mean to do that.
 
Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,286

thanks boss I understand

Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
 
vanilla

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
447
500
Kiswahili kila linapotokea yafuatayo tunampa mhusika pole. Je kwa kiingereza utamwambiaje mtu katika mazingira haya?
1. Baba amekuja kazini na amechoka.
2. Umeenda kumtembelea mtu aliyefiwa.
3. Umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya

Nk

This is not applicable in English. In funerals you just offer your condolences/sympathy. Ukimkanyaga mtu utamwambia tu I am sorry, or pardon me
 
Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,112
2,000
Hellow members I'm here to improve my english so I will going to reply all the contribution here through english language please dont stare or lough on me when I do the mistake in grammar or tenses I'm here to learn and Improve capability of talking and writting english.

Nb: all contribution on this thread must be in english and not other wise.

Yours in learn
Thanks in advanse guyz
Learn to puctuate your sentences. The first paragraph is too long to comprehend.

Ushauri: Tunga sentensi fupifupi utajikuta unaongea kingereza kizuri sana.
 
PjMarLu

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
1,463
2,000
Hellow members I'm here to improve my english so I will going to reply all the contribution here through english language please dont stare or lough on me when I do the mistake in grammar or tenses I'm here to learn and Improve capability of talking and writting english.

Nb: all contribution on this thread must be in english and not other wise.

Yours in learn
Thanks in advanse guyz
Did you ever trite a bit practically on your own with other guys out there before approaching JF?
Because I'm worried some guys here are irreverence, fallacious and inexpedient to circumvent you which will instigate and make you fractious. But never try to accost them and impinge because it will forebode you licentiously. At the end your purport will be so quixotic thence leading to spurious, lack of pithness and terse indeed, eventually you'll rescind to follow up and fail to protean.

By the way what you evinced here is a noble and lofty concept.

Utatusua tu!
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
17,811
2,000
Daddy you need a rest, you must be tired
2. Accept my condolences
3. I’m sorry, I didn’t mean to do that.
Nina wasiwasi swali halijaeleweka...!
Nadhani muulizaji alaita useme kwa kiingereza,
- pole kwa kazi dad
-pole kwa msiba (hii nadhani kwa changu cha ugoko, umepata)
-Samahani, si kukusudia (hakuna kitu kinanikasirisha kama mtu kunikanyaga na kisha kuniambia pole badala ya samahani, naudhika mno)
 
Mmea Jr

JF-Expert Member
May 20, 2016
320
1,000
But here, you are merely improving you are writting skill, what about your speaking skill ?.
 
Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,116
2,000
Hellow members I'm here to improve my english so I will going to reply all the contribution here through english language please dont stare or lough on me when I do the mistake in grammar or tenses I'm here to learn and Improve capability of talking and writting english.

Nb: all contribution on this thread must be in english and not other wise.

Yours in learn
Thanks in advanse guyz
-Laugh
-writing
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom