King Mswati III atangaza mabadiliko ya jina jipya la nchi ya Swaziland

Ndio nchi ambapo watu wake wana maambukizi makubwa ya HIV per capita, I think in the world na labda wana tabia kama ya huyo mfalme wao ya kupendapenda "Down".

Ikiwa ni moja ya nchi masikini sana duniani, wananchi wake wengi hasa vijana kwa miaka ya karibuni wameonyesha kuchoka na huu mfumo wa ufalme (Absolute Monarchy) na wanapendelea zaidi Presidential Regime.
 
Back
Top Bottom