Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza operation gani, akasikitika tu, akaniambia kaka tunapigwa hela kweli, ndugu Sirro tupia macho police wa...