Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Hawa nyota wa bongo muvi ndio walikuwa mstari wa mbele kukata mauno ya ule wimbo pendwa wa sebene. Ningependa kujua maisha yao baada ya mwaka mmoja ya uchaguzi yakovipi. Kwa wale majirani zao na marafiki naomba mtujuze.
Kinachojulikana mpaka sasa hata biashara yao ya bongo muvi imedoda wengi wamedai kujiuzulu.
Zile mbwembwe za wema kujizawadia ndinga hazipo tena. Kwa kasi aliyokuwanayo nilidhani mwaka huu atajizawadia hata private jet. LIPSTICKS zake zilidoda akabuni mradi wa kuuza chupi sijui uliishia wapi.
Wao pia kama wamo humu watupe marejesho.